Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Joka Jeusi ... kuna mabint wamepoteza usichana wao wakiwa wadogo wa umri kiasi kwamba ni mwili ndio ulowasukuma

Wengine kwa kubakwa , na wengi wanabakwa ila wanaishia kukaa kimya.

Wengine ni sababu ya Maisha, kukosa malezi ya Wazazi, uchumi n.k.....

Wengine kosa lilianzia kwa Wazazi wao kwa kushindwa kuwapa Elimu ...


LAKINI MWISHO WA SIKU, IKIWA KAMA MWANAMKE ASIYE BIKRA NA ALIYE BIKRA, WOTE MUNGU ANAWAPENDA na NAFASI YAO NI SAWA, kwann tuwatenge namna hii??


[emoji117][emoji117]Nikweli Kuna faida ya kuoa mwanamke bikra, ILA NIAMINI MIMI HAPA, NMEWALA WANAWAKE WAWILI WAKE ZA WATU WALIOOLEWA NA BIKRA ZAO KABISAAAA .

Suala la kugongewa Mke ni pana kidogo.



[emoji117][emoji117][emoji117]MIMI NISEME KUA, ILI MRADI KILA MWANADAM ANANAFASI YA PILI. ILI MRADI AMEKR NA KUUMIA ....BASI ANAFAA KUA MKE.



OYA WAKUUU, MIMI NAWASHAURI OENI WANAWAKE WENYE HOFU SANA MUNGU BILA KUJALISHA NI BIKRA AU SIO BIKRA, OENI WANAWAKE WENYE HOFU YA MUNGU KWELIKWELI.
 
Zama hubadilika kwa watu wajinga,
Mbona hazibadiliki kwa wahindi au waarabu?

Zama zinabadilika kwa jamii inayopoka nafasi ya mwanaume, na mwanaume akishajidharau lazima haya yatokee
Yote hayo huletwa na umasikini, Waarabu kidogo mambo yao safi pamoja na sheria kali za kimaadili na mfumo thabiti. Hata Wahindi pia, embu tuje hapa kwetu sasa. Embu linganisha namba ya walioshtakiwa kwa makosa ya uchaguz mkuu 2020, na waliowapa wanafunzi mimba!!
Kwa hiyo utaona kukosa mfumo thabiti wa kumlinda mtoto wa kike ni tatizo kubwa.
 

Kama walitolewa wakiwa wadogo sheria za nchi zinasemaje kuhusu waliofanya? Upi wajibu wa wazazi wao baada ya kujua watoto wameharibiwa?

Sheria inasema chini ya miaka 18 ni mtoto na ukifanya naye mapenzi umebaka hivyo mtoto alipaswa kuripoti kwa wazazi au serikalini sheria ichukue mkondo wake ambapo miaka 30 inamhusu
 
Sio wote waitao Bwana , Bwana watauona ufalme wa Mbingu
 
kma alikuwa na matatizo , au kubakwa hyo yupo safe kuolewa! kwa maana ukimuowa sidhani kma atamfuata mbakaji! 🙂 kama npo sahihi..
 

Na umasikini unaletwa na uvivu uliopitiliza, na uvivu ni dhambi na matokeo yake ndio huo umasikini ambao ndio laana.

Watoto badala wasome kisha wafanye kazi kwa bidii wajipatie kipato wanakalie ngono, acha wafunzwe na ulimwengu.\

Hakuna wa kuwaonea huruma hapa
 
Watafungwa wangapi?? .


Unajua kuna kitu hapa mkielewe.... Wewe mwenyewe toka umebalehe. Kutwa kuimbizana na vitoto ,nandivo mmevitoa bikra weeee kuanzia miaka ya 15---25 ..


Saizi mmekua watu wazima, mnatafuta bikra katika jamii mliyoiharibu nyie wenyewe miaka 10-15 ilopita.

Kuna wengine mpaka mkawapa mimba mkakimbia mbali

Kuna wengine mpaka Mkaka kikao cha ukoo kuweka mambo sawa yaishe kimyakimya.


Kama baba wa mtoto uliyemla akiwa na miaka 16, angediriki kukuchukulia sheria. leo ungekua wapi????.


DUNIA ITAKUA NA MA MABIKRA WENGII. IKIWA WANAUME TUTAFANYA HAYA

[emoji117][emoji117]kuwachukulia watoto wengine ni watoto wako, wadogo zako n.k

[emoji117][emoji117]WANAUMR TUOE NA TUTULIE.
 
Tupatie connection ya hao mabikra maana siku hizi wamekuwa adimu sana mkuu.
 
Hukohuko wanakosoma ni hatari tupu, kuanzia sekondari hadi vyuoni.(Waalimu/wakufunzi)
Huko kwenye kazi tena ni balaa(waajiri)
Mwisho wa siku tuu, ni kwa pamoja tukubali MITANO TENA.
 
kma alikuwa na matatizo , au kubakwa hyo yupo safe kuolewa! kwa maana ukimuowa sidhani kma atamfuata mbakaji! 🙂 kama npo sahihi..
Mzeee nilikutana na Mdada mwaka 2012 wakat yeye ndo anamaliza chuo, alikua bikra, bahati mbaya akapata kazi nje ya nchi

Amekaa huko wee kaolewa kazaa.


Nmekuja kukutana naye kiutu uzima 2018 nahapo ameolewa ,ingawa awali alificha kua alizalishwa tu bahati mbaya ,kumbe ameolewa kabisa.


Wewe unasema bikra nini???[emoji23][emoji23][emoji23] hujakutana na mambo.
 
Uzi wangu Bora wa mwaka huu.. 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…