Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

kama mkeo alikubali kukuvulia baada ya ndoa, safi sana, karibu kwenye chama, kama alikuvulia kabla ya ndoa, pole sana na uwe makini, hilo ni garasa, ulilihurumia na litakupa shida muda si mrefu.
 
Hivi al Shabaab tumekukosea nini mpaka ututaje hapa?
 
Sa itakuwaje? Yote maisha tu...kwani hii dunia ni yetu basii.....
 
wagalilaya mpo? mnakubaliana na jamaa kumvua binti nguo kabla ya ndoa takatifu na kuidhalilisha familia? Tupia basi ka audio ulivyokuwa unaongea, tuone kama umefika top levo yetu wale tulio zitindua baada ya sacrament.
 
katika maisha unatakiwa kujifunza kushukuru kile ulichopata, lkn kamwe usidhiaki kile alichopata au kukosa mwingine maana wote hatujui siku wala saa. Upendo kwenu wanawake na mabinti wote mnaojieshimu na wenye utii, haijalishi 'mliteleza' au 'hamkuteleza' katika maisha yenu.
 
Kila mtu aoe amtakae...Kama Ni single mother umependea uzuri..Sawa..

Kama.ana bikra na ndoa sababu OA..
.Kama mwanamke umependea Sura mbaya kwamba hatotongozwa oA.

Kama umependea Wezere tabia mtarekebishana
Mzee Abduli kashapewa za uso
 
No 4
 
Kwan ma single mother hawakuwa ma bikra, au bikra zao wote unajua zilivotolewa?, Usishangae kuwaona wakiwa single pengine waliolewa na bikra zao ila wameishia kuwa single. Shida hapo ni kujua ilikuwaje akawa single.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Nasaha ni nasaha haijalishi zinamhusu nani.
 
Habari Wakuu!

Huu ndio ukweli mchungu, utake usitake. Kama hukumkuta mkeo akiwa na bikra basi tambua wazi kuwa wewe ndio mchepuko wa huyo unayemuona na kumuita mkeo.
Baadhi ya wanaume hulalamika na kuona uchungu wakisikia wake zao wanachepuka kwingine, wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukishaoa mwanamke asiye na bikra wewe ni mchepuko wake kwani shina kuu ni yule aliyembikiri. Na huyo mwanamke ataendelea kutoa matawi/michepuko kadiri ya siku zinavyozidi kwenda.

Kwani nini uwe mchepuko wakati wanawake wenye bikra wamejaa tele?

Kijana nakushauri kama hutaki kuwa miongoni mwa wanaoteseka ndani ya ndoa hakikisha unaoa mwanamke bikra ambaye wewe ndiye utakuwa shina kuu na sio mchepuko/tawi. Hii itakusaidia kuwa na amani ndani ya ndoa.

Kwa waliooa waendelee na ndoa zao, wapambane na hali zao.

Usioe mwanamke asiye na bikra kisha njoo unishukuru

Jokajeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…