Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Una uhakika gani ni mabikra? Usikute matozi wa chuo wanawala hadi tigo rusha wewe unacheka cheka tu.

Hicho ndo kinanipa hasira sana, yaan me naweza niwaache nisubiri time ya kuoa, wakaja makajanja wakapita Na Ngoma, nikabaki natoa jicho,
 
Habari za Yesu unazo au unadandia tu gari kwa Mbele.

Kwani kahaba akiacha ukahaba na kumuomba Mungu ampe Mume.
Unadhani Mungu atakataaa ????
Hatakama Yesu yupo, hupaswi kufanya ukahaba kwa kisingizio kuwa nitatubu na Yesu ataniponya na kunitakasa , chamsingi ni kujiheshimu full stop .
 
Pole sana, image yako yote ikawa tarnished ,uko soo desperate kuonyesha uko fine, dont try soo hard..we understand you need to recover and its not healthy even in your own relationship/walikupa kitu cha ku ponder kuhusu uhusiano wako mwenyewe

Endelea kunipa pole mimi nikiendelea kutoa dawa
 
Hatakama Yesu yupo, hupaswi kufanya ukahaba kwa kisingizio kuwa nitatubu na Yesu ataniponya na kunitakasa , chamsingi ni kujiheshimu full stop .
Mkuu..hivi nyie hamna dhambi?..Wewe unae kazana na ukahaba wa mtu...Wewe hutakiwi kutubu kwa Uzinifu wako?

Hutakiwi kutubu kwa wizi wako na dhuluma na matusi na kuuwa na mfano we...

Wewe Uzinifu wako kwasababu hauitwi ukahaba Basi unaona ninSawa?
 

Hii ni fursa Mkuu, hata kwenye corona watu waliuza barakoa, wewe ni kama barakoa mzee
 

Mungu angekuwa msahemevu kama unavyosema watu wasingekuwa wanakufa kwa kosa moja la kula Tunda.

Endelea kujidanganya hapo.

Maisha ni mara moja, one mistake hundred goals. Kama angekuwa msamehevu bikra ingerudi hiyo, lakini ukitoa ndio imetoka.

Baraka ya nini unaizungumzia?

Mtu hupata kile akitafutacho, ukitaka pesa unapata pesa na wala haihusiani na baraka za Mungu.

Ukitaka uzinifu unapata uzinifu, mtu hupata kile atafutacho.

Mtu huvuna alichopanda.
 
Kama hukumu kwa kupoteza bikira kabla ya ndoa ipo,basi hakuna atakayebaki salama,ila kwakuwa kuna upenyo umewekwa wa toba sijajua sasa kama baada ya mtu kusamehewa kama kiimani anakubalika kuolewa akiwa hana bikira......

Ninyi ndio mnachanganya maandiko,
Imani ni matendo na matendo ndio imani.
 
Fafanua kidogo mkuu,kivipi hapo...

Imani huthibitika kwa matendo Mkuu.

Hujiulizi mbona Shetani hajasamehewa na Mungu?
Au Adamu hakusamehewa na Mungu mpaka leo tunakufa?

Mtu hawezitoa bikra kwa makusudi na tamaa zake kisa ataomba toba. Msamaha unathamani na hutolewa kwa makosa yaliyofanyika kwa bahati mbaya au kutokujua.

Lakini hawa malaya wanaofanya kwa makusudi wakatoa bikra huku wakijua hakuna cha msamaha hapo, dini zinadanganya sana watu
 
Kwenye maandiko kuna kifungu kinasema , Mwaname anaweza kuwafanya wanawake 1000 wakaitwa kwa jina lake , ila mwanamke anatakiwa kujitunza kwaajili ya Mumewe , kwa tafsi isiyo rasmi""
 
Mbona watu wanajua hapa ni pambano la pande mbili ambalo ni;

Mafisi wapenda uchafu ukiwemo wewe
Simba wapenda Fresh Meat ambapo nipo mimi.

Hivyo ni lazima unijibu kutetea uchafu wako na wanaokula uchafu


hata uniite kunguni,mimi sijali, dada zako,mama wadogo zako na shangazi zako wao wanazo zao??..kwa nini usichukue hii topic yako ya ubikira kwao? maana tumechoka na huu upuuzi wako humu, na kama wanayodai wadau humu ni kweli then huna MORAL AUTHORITY yoyote kuongelea kuhusu ubikira.... wewe hujijui tuu ila na wewe timu ya mafisi kama unavyoita wenzio..sema uko DELUDED!
 
Kwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.

[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Kwenye maandiko kuna kifungu kinasema , Mwaname anaweza kuwafanya wanawake 1000 wakaitwa kwa jina lake , ila mwanamke anatakiwa kujitunza kwaajili ya Mumewe , kwa tafsi isiyo rasmi""
Nikweli..kwaiyo inaamnisha Wewe Uzinifu wako...Upo sawa based on hayo maandiko...

Someni neno lamungu na mulielewe...Tatizo mnataka kusoma neneo la Mungu na kuchukua mistari ambayo inaendana au kusifia matendo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…