Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hata mimi napenda nikinunua kinywaji dukani nipewe kilichofunguliwa na kuonjwa tayari.

Huwa sipendi ujinga kwenye maswala ya unafiki mimi!
 
Ulijuaje mkeo ni bikra siku ya ndoa yenu?
Ulimtomb@ mkeo kabla ya kufunga ndoa?
Au mlifunga ndoa ukaenda kumgegeda baada ya siku kadhaa ndio ukafanya harusi?
 
Nina swali:

Aliyeowa mwanamke bikira but mwanamke ni mpagani (hamjui Yesu) na
Aliyeowa mwamke asiye bikra ila mwanamke kampokea Yesu kua mwokozi wake (kajengeka kiimani)

Yupi mjanja/ yupi atakua na Ndoa nzuri zaidi.
 
Kwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.
Mnamsingizia Yesu wa watu bure
 
Inabidi kiundwe kikosi maalum cha kumlinda Jokajeusi 😂😂😂 maana kuna Ke wazi wakimkamata watamchemsha supu.

Sema mleta mada wewe ni real deal, mwanaume atakayekupuuza asije kumlaumu mtu mbele ya safari.

Jamii inajitahidi kupotezea umuhimu wa bikra kwa mwanamke bila kujua ndio chanzo cha matatizo yanayozikabili ndoa za siku hizi.

Niliwahi kusoma mambo fulani kuhusiana na jinsi tendo la ndoa kwa Mara ya kwanza kwa mwanamke linavyomuathiri kisaikolojia, kiroho na kimwili.

Kwa ufupi mwanaume anayembikiri msichana ndiye mume wa huyo msichana bila kujali amemuoa au la. Hiyo dhana inaitwa sexual imprint. Kwahiyo kuoa mwanamke asiye na bikra ni sawa na kuishi na mke wa mtu, hamtaendana kiroho.
Nachoshukuru bado sijaoa, kamwe siwezi kuoa ama kumzalisha mwanamke ambaye tayari ni damaged. Kwangu ndoa ni sacrifice hivyo lazima niji sacrifice kwa mwanamke atakayeji sacrifice kwa ajili yangu.
 
Back
Top Bottom