Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu madam mgumu kuelewa au fimbo zinaruhusiwa mkuu😄😄😄

Mtu akishatolewa bikra zote hata utwange na mchi hawezi kuelewa, hivyo sisi ndio tumuelewe kuwa kashavurugwa huyo
 
Binti huyo haukumuoa akiwa bikra kwakua ni wewe mwenyewe ulimbikiri kabla hajaolewa. Yangu ni hayo tu.

Harusi sio ndoa, na ndoa sio harusi.

Ukishajua hilo inatosha kuelewa kuwa huyo ni mke wangu na nilimuoa kihalali kabisa
 
Tungepata jokajeusi kama 10 jamii ingefika mbali

Inshallah wataanza kujitokeza ila wengi huogopa hasa wakiulizwa maswali kama mama yako alikuwa bikra sijui Baba yako alioa mama yako akiwa bikr. Maswali haya huulizwa na jamhuri ya mafisi
 
Kuturingishia kuwa umeoa bikra haitoi uhalisia kuwa hata bikra wana tabia zilizojificha ambazo huzijui,kuna sehemu umemkebei Mungu ila omba sanaa tena sanaaa mambo yasijebadilika
Amkague vizuri, asije kua kaoa mwana mtandao pendwa aliyeamua ku incur opportunity cost ya kuhanganisha 0714 ili aipumzishe bikra
 
Nashindwa kuelewa,kuna mwanadamu anapangia wanadamu wenzie jinsia!

Kazi ya ajabu sana hii

Ni punguani tu anaweza ifanya

Nimeshakuambia kuwa wewe nje ni dume lakini ndani ni jike, hiyo inatokeaga, so sijakupangia bali nakuelezea jinsi ulivyo.

Pia wapo wanawake ambao kwa nje ni jinsia ya kike lakini kwa ndani ni mwanaume. Hawa huwakuta na tabia nyingi za kiume.

Sasa wewe ni mwanaume lakini kwa unachokitetea ni wazi wewe kwa ndani ni jike. So hiyo ni kawaida wala usipate shida kuelewa hii
 
Ndo ujue kuwa huyu mleta mada ana matatizo ya akili.
Kuringia bikra ya mkeo NI KUJIDHARIRISHA NA KUMDHARIRISHA HUYO MWANAMKE.
Pia anamdharirisha mama YAKE mzazi na ndugu zake wa kike.
Unadhani mleta mada yeye ndo wa kwanza kuoa bikra? Au yeye ndo wa kwanza kumvunja mwanamke bikra?.
Hata Mimi nikishawahi kumbikri mwanamke lakini siwezi kuja kujisifu humu
Aisee!
Ukirudishwa hilo swali wewe sijui utajisikia raha?
 
Back
Top Bottom