Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungepata jokajeusi kama 10 jamii ingefika mbali
Amkague vizuri, asije kua kaoa mwana mtandao pendwa aliyeamua ku incur opportunity cost ya kuhanganisha 0714 ili aipumzishe bikraKuturingishia kuwa umeoa bikra haitoi uhalisia kuwa hata bikra wana tabia zilizojificha ambazo huzijui,kuna sehemu umemkebei Mungu ila omba sanaa tena sanaaa mambo yasijebadilika
[emoji3][emoji3][emoji3]Tungepata jokajeusi kama 10 jamii ingefika mbali
Thread 'Mission impossible ' Mission impossibleUzi upi huo Mkuu?
Embu nipe link
Thread 'Mission impossible ' Mission impossible
Nashindwa kuelewa,kuna mwanadamu anapangia wanadamu wenzie jinsia!
Kazi ya ajabu sana hii
Ni punguani tu anaweza ifanya
Nilishaeleza hilo kitambo Mkuu.
Sisi bila bikra wazazi hawatatoa baraka kwako, utaishi kama hayawani tuu
Aisee!
Ukirudishwa hilo swali wewe sijui utajisikia raha?