Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Endelea kunipa pole mimi nikiendelea kutoa dawa
Captain endelea kupiga spana za utosi.
Tumeshakubalia bikra ndio go ahead ya kuoa.
Hawa K wazi wanaokunanga sisi tutaendelea kuwatumia kupunguzia nyege lakini ndoa ni kwa ajili ya mabikira tu.
Mungu mwenyewe alimteua Bikira amzalie mtoto, sisi ni nani hata tupingane na Mungu kwa kuotesha mbegu zetu kwenye mashimo yaliyotoboka?
 
Nikweli..kwaiyo inaamnisha Wewe Uzinifu wako...Upo sawa based on hayo maandiko...

Someni neno lamungu na mulielewe...Tatizo mnataka kusoma neneo la Mungu na kuchukua mistari ambayo inaendana au kusifia matendo yenu

Tunalielewa na ndio maana tunataka watu wasioe takataka, watu walionajisiwa kwa kufanya ukahaba.

Wewe ulitaka watu waoe mtu aliyenajisiwa wakati kuna wanawake safi?
 
Kwenye maandiko kuna kifungu kinasema , Mwaname anaweza kuwafanya wanawake 1000 wakaitwa kwa jina lake , ila mwanamke anatakiwa kujitunza kwaajili ya Mumewe , kwa tafsi isiyo rasmi""
Hiyi hiyo biblia inakwambia Uoe mke mmoja?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 

Huwezi gusa maslahi ya shetani alafu washirika wake wasijitokeze kukushambulia na hapa wengi ni wale makahaba walioharibika mpaka akili.
 

[emoji1319][emoji1319][emoji4][emoji817]
 
Hiyi hiyo biblia inakwambia Uoe mke mmoja?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]


Tupe kifungu hiko kinachosema mtu aoe mtu mke mmoja.

Askofu pekeake ndiye aliyeambiwa lakini wengine wanaweza kuoa mke zaidi ya mmoja. Wewe umesoma biblia ipi hiyo?
 
Mkuu..hivi nyie hamna dhambi?..Wewe unae kazana na ukahaba wa mtu...Wewe hutakiwi kutubu kwa Uzinifu wako?

Hutakiwi kutubu kwa wizi wako na dhuluma na matusi na kuuwa na mfano we...

Wewe Uzinifu wako kwasababu hauitwi ukahaba Basi unaona ninSawa?
Wanawake katika vitabu vya dini mnakipaumbele sana cha kuwa wasafi kuliko wanaume amini hilo. Ndio maana maandiko yakasema "" Katika Mwanamke nimeweka uzima na Kifo"" yaani katika Mwanamke kuna uumbaji na maangamizi vyote vimo ndani yenu.

Wanawake mnanafasi kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho kuliko wanaume , wanawake wanatakiwa kuwa katika hali takatifu sana kuliko wanaume.
 
Tunalielewa na ndio maana tunataka watu wasioe takataka, watu walionajisiwa kwa kufanya ukahaba.

Wewe ulitaka watu waoe mtu aliyenajisiwa wakati kuna wanawake safi?
Ndo Maana nakwambia Wewe Humjui Mungu ..Huwezi muita takataka kwa tenda dhambi ambayo hata Wewe unatenda just because eti Ni mwanamke?.

Nikweli Uzinifu kwa mwanamke Ni mbya zaidi..kwa macho ya walimwengu. Lakini kwa Mungu huyo unaemquote Zambi zote anasamehe..

Ndo Maana hizo Takataka Zina Olewa na kuzaa.....na zinaweza zaaa watoto Bora Sana kuliko wako hao wakwako ambao UnwaiTA WASAFI
 

Ninyi msio na bikra ndio mmechoka na kuuona ni upuuzi, wenye bikra na walioolewa na bikra wanaona ni jambo zuri.

Kwa hiyo inategemea upo upande gani.
Kama ni malaya lazima utetee malaya wenzako
Kama sio malaya huwezi tetea

Nilishasema hata angekuwa mama yangu, kama hakuolewa akiwa hana bikra basi ni malaya. Niseme mara ngapi hivyo.

Umalaya hauna excuse,

Vijana msioe mwanamke asiye na bikra, ashumuni huyu ndio mke wenu kisha jioneeni
 

Mimi simjui huyu mungu mshenzi anayetaka tuoe takataka.

Mungu ninayemjua aliyeumba mbingu na nchi aliyetaka watu waoe wasichana bikra ndiye ninayemtambua.

Huyo mngu mzoga ambaye ni kigeuuge simjui, yaani Mungu aseme hivi alafu kesho aseme vile huyo si atakuwa mungu mpuuzi tuu.

Makahaba wana mungu wao, sishangai
 
Tupe kifungu hiko kinachosema mtu aoe mtu mke mmoja.

Askofu pekeake ndiye aliyeambiwa lakini wengine wanaweza kuoa mke zaidi ya mmoja. Wewe umesoma biblia ipi hiyo?
Sijui.mimi.Muisilamu...Na mume Wangu akitaka kuoa mke WAPILI aoe...Wala Sina shida.
.sijashika neno la Mungu kwa Mambo yanayo nifurahisha roho yangu tu
 
Nikweli..kwaiyo inaamnisha Wewe Uzinifu wako...Upo sawa based on hayo maandiko...

Someni neno lamungu na mulielewe...Tatizo mnataka kusoma neneo la Mungu na kuchukua mistari ambayo inaendana au kusifia matendo yenu
Namaanisha utakatifu kwa Mwanamke unatakiwa uwe wa hali ya juu sana, japo wote twatakiwa kuwa watakatifu
 
Nimehangaika miaka takribani 19 tangu nipevuke nikajitunza sikuwahi kunyandua msichana yeyote lakini kila nilipotaka kuoa nikimuuliza binti ninaye mchumbia vipi unabikra anakataa,mwisho wa siku mri unaenda nikaona isiwe tabu mwaka huu nimeamua kubadili msimamo wangu nahitaji kuoa binti yeyote hata kama sio bikra kikubwa azae watoto basi,kuna mambo mengine unaweza kung'ang'ania kumbe sio bahati yako, KUPATA MWANAMKE BIKRA NI BAHATI PIA.
 

Kuzaa hata Mbwa anazaa licha ya kupandwa na madume mengi.
Kuolewa unaolewa lakini inakuwa ndoa ya kishetani na watoto wanaotoka hapo ndio hicho kiliitwa na Yesu kizazi cha zinaa.

Siwezi ruhusu Mtoto wangu azaliwe na mama malaya asilani
 
Mkuuu...INATOSHA KUSEMA MUNGU HUMJUI...

Kama huyo Mungu alikuruhusu Wewe kuzini....Kisha okomalie bikra ya WANAWAKE..

Mimi Nadhani MAswala Ya MUNGU HUYAJUII..
BALI UMESIMAMA KWENYE MUNGU WA BIKRA YA MWANAMKE.
 

Afadhali wewe umejua bikra ni bahari kama ilivyopepo.

Vitu vizuri ni vyawachache Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…