Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Kwaiyo WANAWAKE..wanatakiwa wajitunze Sana alafu wapate WANAUME..ambao Ni wachafu haswa na wafukua mitaro?.....Wanawake katika vitabu vya dini mnakipaumbele sana cha kuwa wasafi kuliko wanaume amini hilo. Ndio maana maandiko yakasema "" Katika Mwanamke nimeweka uzima na Kifo"" yaani katika Mwanamke kuna uumbaji na maangamizi vyote vimo ndani yenu.
Wanawake mnanafasi kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho kuliko wanaume , wanawake wanatakiwa kuwa katika hali takatifu sana kuliko wanaume.
Ndo Maana sisi waisilamu Tunasema Usilamu Ni usafi...Sijawai msikia sheikh akisema WANAWAKE wanatakiwa wawe wasafi zaidi kuliko WANAUME...
Mungu anasema enyi mlio Amini..msikubie zinaa kwani Ni uchafu.....
Sasa iweje Mnakomalia uchafu wa mwanamke..
Huo.ulimwengu wenu wa Roho..Sijui ukoje?