Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kwaiyo WANAWAKE..wanatakiwa wajitunze Sana alafu wapate WANAUME..ambao Ni wachafu haswa na wafukua mitaro?.....


Ndo Maana sisi waisilamu Tunasema Usilamu Ni usafi...Sijawai msikia sheikh akisema WANAWAKE wanatakiwa wawe wasafi zaidi kuliko WANAUME...

Mungu anasema enyi mlio Amini..msikubie zinaa kwani Ni uchafu.....

Sasa iweje Mnakomalia uchafu wa mwanamke..

Huo.ulimwengu wenu wa Roho..Sijui ukoje?
 

Hawa wanataka ukahaba ukifanyika watu wakae kimya na upuuzi wao
Ushoga ukifanyika watu wakae kimya.

Ushetani ni mbaya sana.

Huyo Baba yao ibilisi alianza haya huko mbinguni kutaka kufanya lolote kwa uhuru bila kukanywa wala kukemewa. Yaani autumie mwili wake atakavyo.

Hao ni wapuuzi na kamwe hatutawaachia nafasi hata wasemeje
 

Hivi unatumia matope kufikiri?

Mwanamke akijitunza mwanaume atafanya uchafu na nani?

Kumbuka mwanamke ndiye anajitunza kwa ajili ya mumewe kwani mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke.
 

unayemuita mama yako mwenyewe mala*ya...people dont recognize that they are arguing with a FOOL!

naona kuhusu POLL unapotezea..umebakia kuita watu mzoga, huku unajijua mwenye ulivyo mzoga,na una mzoga umeuweka ndani, hivi you dont get it...GET OUT of that deluded world that you are in...mzoga we!
 
Nikweli....KUSIMAMIA WHAT is right ni Jambo Jema kabisa...

Hata Mimi siwezi mshauri mtu AZINI...
Lakini huku kuwaita wengine Takataka ..mizoga...makahaba...nk...Ni Sawa..

Kama KUSIMAMIA what is RIGHT...HII right ni bikra ya mwanamke TU...

RIGHT NI KUKATAZA UZINIFU.....SIO KUEGEMEA KWENYE UZINIFU WA MWANAMKE..

Huyu mwanamke hajizini mwenyewe
Kama WANAUME watakimbilia Zinaaa...hawatajizuia watawabaka hata hao WANAWAKE.
 
Mimi Sio wa Dini hiyo....kwakweli..Sijui maandiko yenu kiundani

Haya leta maandiko ya dini yako sasa,
Bahati nzuri nimesoma dini mbalimbali, uislam, ukristo, Ubahaula, ushinto, na kidogo Uhindu. Sema wewe dini gani tujadili kwa muktadha wa dini yako,

Au sema wewe ni utamaduni, mila na desturi gani yaani kabila tujadili hili kwa muktadha wa kabila lako ili uone kwamba huna utetezi popote pale zaidi ya sheria za kishetani ndizo zitakusapoti.
 
Mkuu..hivi nyie hamna dhambi?..Wewe unae kazana na ukahaba wa mtu...Wewe hutakiwi kutubu kwa Uzinifu wako?

Hutakiwi kutubu kwa wizi wako na dhuluma na matusi na kuuwa na mfano we...

Wewe Uzinifu wako kwasababu hauitwi ukahaba Basi unaona ninSawa?
Mtu kuwa na dhambi haimzuii kuwakemea wadhambi.

Yesu katika Injilinya Mathayo anatuambia asiyetenda mema ila anawaelekeza wengine kutenda mema huyo ni mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu.

After all mtu akizini haimaanishi kuwa kuzini ni jambo jema na hivyo asiwakataze wengine.

Hata daktari anaweza kuwa mvuta sigara ila akakukataza wewe kuvuta kwa kuwa hicho kitendo ni kibaya na anapaswa kukemea mabaya.

Kwahiyo tujadili kile anachokisema kama ni chema au kibaya; tusimjadili mtu.
 

Ushetwani mbaya sana, so mama yako akifanya umalaya yeye haitwi malaya kisa mama yako?

Embuoneni hili chizi

Uovu hauna cha Mama wala Baba, Ukifanya unapata jina jipya. Baba yangu akiiba, yeye ni mwizi kama wezi wengine.

So Ulitaka wengine waitwe kwa jina baya kisa sio mama zako?
Hili chizi kweli

Ili ujue wewe maharagwe ya mbeya na usiye na msimamo, umesema ile ilikuwa Your last post to my post, kinachokufanya uendelee tunakijua ni kuwa kahaba hanaga msimamo hata kwenye mambo madogo
 
Hivi unatumia matope kufikiri?

Mwanamke akijitunza mwanaume atafanya uchafu na nani?

Kumbuka mwanamke ndiye anajitunza kwa ajili ya mumewe kwani mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke.
Kwanini Wewe usishinde matamanio yako ya mwili ukamuogopa Mungu ...Ukasema siwezi fanya uchafu...
.kwaiyo nia yako Ni Uzinifu Ila inategemea na mwanamke...
Akikataa SI utatafuta hata Kuku....

Ndo Maana Wewe NI MZINIFU lakini azima yako Ni kuzini walioziniwa.....kwaiyo Utawaaalaumu wengine kwa Tabia yako..


Kwamba kwanini alikubali kuzini kosa Ni lakwake....ila Wewe Huna kosa..
 
Kahaba nae akiomba Mungu ampatie Mume, Mungu humpa.
Sasa tukijidanganya wote kua hatutaki asiye bikira, haitowezekana.
Shida yako wewe unakata tamaa mapema kizazi hiki walioowa makopo wameshapoteza ramani ya vita hii vita inapiganwa kwa manufaa ya watoto zetu siyo tena vijana wa leo.

Nikuhakikishie kitu Mzee,siku hizi hakuna anayemshirikisha Mungu kwenye kutafuta mwenza vijana siku hizi wanachoangalia wao ni shape,kwamba siyo soul mate wake siyo habari habari ni ana shape?na hao wenye wako na shape ndo kila siku ndoa hazieleweki kijana anaowa mke wa watu bila kujua.wapo wanawake wameumbwa kuwa makahaba hawa hawaombi kupata mume bali hukutana na wanaume wasiomtanguliza Mungu na ndo huenda kuwaumiza na hawa hawa ndo tunaosikia story zao humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakufanana nae..Ni mzinifu....Hata Joka jeusi kapewa wakufanana nae AMBAE NI MZINIFU...

lakini yeye anajifanya kana Kwamba amependelewa Sana...
hebu tujadili hoja tuachane na watu... Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni jambo ambalo linapelekea watu kuingia kwenye ndoa bila bikra, and so, sote kwa umoja wetu tunapaswa kulipinga na kulikemea kwa nguvu zetu zote. Unakubali au unakataa?
 
Mwanamke mchafu Ni kwa mwanaume mchafu....au kwa mwanaume asieamini

Mzinifu achapwe bakora 80 na Kama ameoa apigwe mawe Hadi kufa.

HAKUNA sehemu Mungu kasema mwanamke mzinifu hafai kuolewa na atengwe ..alafu Huyu Mungu Tena aseme yeye Ni msamehevu anasamehe kila dhambi hata Shirki..

Uchafu wa Mama au baba hauendi kwa mtoto...
No bearer of burdens will carry the burdens of another..

Sikumbuki TU ni Quran ngapi...mstari was ngapi....
 

wewe kweli chizi,si ulisema huniwekei bundle??, unachoona cha ajabu ni kipi mimi kurudia haya mashudu yako????

Wewe endelea kuzuga hapo,ila huwezi kumuita mtu aliyekubeba miezi tisa ma*laya...hapo ndipo unapoonyesha wewe hauna moral authority ya kutuambia sisi lolote,... you are stupid,kutaka kuendelea kumaintain status ya upuuzi wako humu unaona uende extra lengths kiasi cha kumtukana your own mum........

utaniita mzoga,maharagwe ya mbea and whatever....ila kukuambia unaishi ulimwengu wa kufikirika sitaacha,na ukweli unaujua kwamba topics zako ni za ulimwengu wa kufikirika, ni sawa na wale watoto wadogo wanavyoamini ulimwengu wa fairy tales....pole we!
 
hebu tujadili hoja tuachane na watu... Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni jambo ambalo linapelekea watu kuingia kwenye ndoa bila bikra, and so, sote kwa umoja wetu tunapaswa kulipinga na kulikemea kwa nguvu zetu zote. Unakubali au unakataa?
Nakubaliana nawewe KABISA

Mtu asifungue mdomo wake waaaa kukemea Uzinifu kwa mwanamke TU....

Hi nitapambana nayo hata nikiitwa Takataka Mzoga nakadhalika
 
dhambi ni dhambi tu bila kujali kama imetendwa na mwanaume au mwanamke. Inapaswa kukemewa.
 
Lakini dada mkubwa, with due respect, dhambi ni dhambi tu hata kama itafanywa na dunia nzima. Wema ni wema tu hata kama hakuna mtu atakayeutenda.

What matters ni kuwa we are all obliged kukemea mambo yasiyokuwa mema bila kujali yametendwa na nani, hata kama tutayatenda sisi wenyewe.

Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ndiyo kunafanya watu waingie kwenye hii taasisi bila kuwa bikra. Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni dhambi and we should all rebuke this sinful tendency.

We don't need polls nor opinions to discern kwamba hiyo ni dhambi na kwamba dhambi inabidi ikemewe.
 

Kukataza watu wasioe wanawake wasio na bikra huoni ni moja ya kuzuia zinaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…