Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Mimi sikuambii wewe nawaambia vijana wa kiume na wengi wananieelewa wanakuja PM. Wewe endelea na kingereza chako cha kikatuni hapo
 
Aiseee ukiongelea torati ujue hata wanaume nao walikuwa bikra sio wewe upuyange hukooo we halafu utake mtoto wa watu bikra
Rudia vizuri uzi wa mtoa mada, utamwelewa tu. Najua wewe jinsia yako ni "KE". Unawezaje ukafahamu kuwa mwanaume siyo bikra? Katika Bible nadhani kuanzia kitabu cha Mwanzo ( Genesis ) hadi Ufunuo ( Revelation ) hakuna aya utaikuta imemuongelea mwanaume katika ubikra wake. Mwanaume akuumbwa na alama yoyote ya ubikra.
Mwenye ushahidi wa hili kupitia Biblia kama sipo sahihi, karibu ili iwe tupate uelewa kwa faida ya wana-Jf wote.
Ahsante!
 
Hatakama Yesu yupo, hupaswi kufanya ukahaba kwa kisingizio kuwa nitatubu na Yesu ataniponya na kunitakasa , chamsingi ni kujiheshimu full stop .
Hakuna dhambi ya kukusudua na yakuto kukusudia zote hufanywa kwa sababu ya kukosa ukarbu mzuri na Mungu.
 
Shida ume mention mabikira woteee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hao wanaume unaowasema umewatarget wakikupa msimamo wao ama experiences zao will you shut up???
 
Ni rahisi mwanamke asiye Mkristu kuwa Mkristu ila haiwezekani mwanamke asiyekuwa bikra kuwa bikra. Ninafikiri umepata jibu.
Ingekua hivo shetani atajikuta motoni peke yake.

Na usibadilishe machaguo.

Chagua kuoa Atheist bikra.
Au asiye bikra ila anamjua Yesu vizuri.
 
Mimi sikuambii wewe nawaambia vijana wa kiume na wengi wananieelewa wanakuja PM. Wewe endelea na kingereza chako cha kikatuni hapo

Hahaaa eti wanakujia PM, tukuogope au??...nishakuambia kingereza changu kiache kama kilivyo, there's nothing you can do about it,ongea chako wakuone
 
Shida kubwa hapa ni watu kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa. Trust me, kama tungekuwa tunashiriki tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee, kila mmoja angeoa na kuolewa na bikra.
Na sisi wanaume ndio waharibifu namba moja.
Hadi tunatoa ahadi za uwongo kisha kunawabwaga.
 
Hao wanaume wasiomtanguliza Mungu. Ni wewe na mimi.
 
Woteeee Tumetenda dhambi.
 
Hujui kitu kuhusu habari za Mungu.
nyamaza tu
 
Mkuuu...INATOSHA KUSEMA MUNGU HUMJUI...

Kama huyo Mungu alikuruhusu Wewe kuzini....Kisha okomalie bikra ya WANAWAKE..

Mimi Nadhani MAswala Ya MUNGU HUYAJUII..
BALI UMESIMAMA KWENYE MUNGU WA BIKRA YA MWANAMKE.
Hahahaaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nisha ona tunadili na mpumbavu mmoja aliyekuja na story za Kutunga.
Wakati bado anaishi kwa Baba yake.

Yeye mwenyewe ukute kaowa bikra ya malimao.

Au mke wake ukute ndo wale walikua wanafanywa nyuma ili kutunza bikra yake.
 
Hakuna unachojua kuhusu Mungu.
 

chukua time!
 
Nina swali:

Aliyeowa mwanamke bikira but mwanamke ni mpagani (hamjui Yesu) na
Aliyeowa mwamke asiye bikra ila mwanamke kampokea Yesu kua mwokozi wake (kajengeka kiimani)

Yupi mjanja/ yupi atakua na Ndoa nzuri zaidi.
Mkuu umeoa asiye kuwa na bikra??
 
Pole kwako kuwa na one sided view of life!...

na wewe utaoa bikira, utampata wapi?...

One side view ipi!

Sio lazima nimpate bikira, lakini haiondoi ukweli kwamba ni kwa vile tu sijampata.

Ukianguka sehemu ni muhimu kukiri na kujisahihisha, na sio kuhalalisha anguko langu kuwa ni super!

Mjinga wakati wa kwenda tu.
 
Mkuu umeoa asiye kuwa na bikra??
Mimi hata sitetei wasio na bikira.

Namtetea mwanadamu atambue kua hata atende nini chini ya jua bado anayo nafasi ya Kukaa na Mungu na kuwa milki ya ufalme wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…