Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

hahaaaaaaaaaaa eti alikua bikira thubutuuuu.....ajitunze siku zote afu aje akupe wewe kabla ya ndoa kwani wewe nani???kama alikua anajitunza asingekupa wewe mpaka ndoani, umeoa mzinifu kama ulivyo wewe! ..ulikua tayari kutest kabla ya ndoa ila unapiga kelele watu waoe bikira,zitoke wapi kama mnazini kabla ya ndoa?? again huna moral authority ya kutuambia sisi lolote .... POTEA HUKO!

Mimi sikuambii wewe nawaambia vijana wa kiume na wengi wananieelewa wanakuja PM. Wewe endelea na kingereza chako cha kikatuni hapo
 
Aiseee ukiongelea torati ujue hata wanaume nao walikuwa bikra sio wewe upuyange hukooo we halafu utake mtoto wa watu bikra
Rudia vizuri uzi wa mtoa mada, utamwelewa tu. Najua wewe jinsia yako ni "KE". Unawezaje ukafahamu kuwa mwanaume siyo bikra? Katika Bible nadhani kuanzia kitabu cha Mwanzo ( Genesis ) hadi Ufunuo ( Revelation ) hakuna aya utaikuta imemuongelea mwanaume katika ubikra wake. Mwanaume akuumbwa na alama yoyote ya ubikra.
Mwenye ushahidi wa hili kupitia Biblia kama sipo sahihi, karibu ili iwe tupate uelewa kwa faida ya wana-Jf wote.
Ahsante!
 
Hatakama Yesu yupo, hupaswi kufanya ukahaba kwa kisingizio kuwa nitatubu na Yesu ataniponya na kunitakasa , chamsingi ni kujiheshimu full stop .
Hakuna dhambi ya kukusudua na yakuto kukusudia zote hufanywa kwa sababu ya kukosa ukarbu mzuri na Mungu.
 
Kwani nipo hapa kubadilisha msimamo wako wakati wewe ushapitwa na wakati, pia sio wewe unayeoa bali wewe unaolewa.

Hii mada inahusu wanaume wanaooa hivyo ungekuwa mwanaume pengine ningejisikia vibaya kwa kuwa mwanaume mpumbavu lakini wewe ujumbe huu sio wako. Kinachokufanya uhangaike hapa ni kutetea soko lako kwani unajua vijana wakinielewa nafasi yako ipo mashakani.

Hao wanaume unaowasema umewatarget wakikupa msimamo wao ama experiences zao will you shut up???
 
Ni rahisi mwanamke asiye Mkristu kuwa Mkristu ila haiwezekani mwanamke asiyekuwa bikra kuwa bikra. Ninafikiri umepata jibu.
Ingekua hivo shetani atajikuta motoni peke yake.

Na usibadilishe machaguo.

Chagua kuoa Atheist bikra.
Au asiye bikra ila anamjua Yesu vizuri.
 
Mimi sikuambii wewe nawaambia vijana wa kiume na wengi wananieelewa wanakuja PM. Wewe endelea na kingereza chako cha kikatuni hapo

Hahaaa eti wanakujia PM, tukuogope au??...nishakuambia kingereza changu kiache kama kilivyo, there's nothing you can do about it,ongea chako wakuone
 
Shida kubwa hapa ni watu kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa. Trust me, kama tungekuwa tunashiriki tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee, kila mmoja angeoa na kuolewa na bikra.
Na sisi wanaume ndio waharibifu namba moja.
Hadi tunatoa ahadi za uwongo kisha kunawabwaga.
 
Shida yako wewe unakata tamaa mapema kizazi hiki walioowa makopo wameshapoteza ramani ya vita hii vita inapiganwa kwa manufaa ya watoto zetu siyo tena vijana wa leo.

Nikuhakikishie kitu Mzee,siku hizi hakuna anayemshirikisha Mungu kwenye kutafuta mwenza vijana siku hizi wanachoangalia wao ni shape,kwamba siyo soul mate wake siyo habari habari ni ana shape?na hao wenye wako na shape ndo kila siku ndoa hazieleweki kijana anaowa mke wa watu bila kujua.wapo wanawake wameumbwa kuwa makahaba hawa hawaombi kupata mume bali hukutana na wanaume wasiomtanguliza Mungu na ndo huenda kuwaumiza na hawa hawa ndo tunaosikia story zao humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaume wasiomtanguliza Mungu. Ni wewe na mimi.
 
Kama unasoma biblia Huyo Mungu anakataza kuona maboriti kwenye macho ya wengine..

Nahuyo huyo anasema Ya kale yamepita na yoote yamekuwa Mapya..(Kama nimepatia..)..

Kwaiyo atakae mtegemea Mungu.awe mzinifu awe jambazi awe muuwaji...Mungu humjibu Dua zake..

Hata huyo KAHABA akiamua kuacha na Kufanya Toba ya KWELI...Mungu anaweza mpa mume mzuri tu.

So Kama Ni Mungu asijadiliwe kwenye mlango mmoja TU...

Mungu hajaacha kuwapenda watenda dhambi hata SIKU MOJA...
NANI ASIE NA DHAMBI KATIKA MGONGO WA ARDHI?
Woteeee Tumetenda dhambi.
 
Mungu angekuwa msahemevu kama unavyosema watu wasingekuwa wanakufa kwa kosa moja la kula Tunda.

Endelea kujidanganya hapo.

Maisha ni mara moja, one mistake hundred goals. Kama angekuwa msamehevu bikra ingerudi hiyo, lakini ukitoa ndio imetoka.

Baraka ya nini unaizungumzia?

Mtu hupata kile akitafutacho, ukitaka pesa unapata pesa na wala haihusiani na baraka za Mungu.

Ukitaka uzinifu unapata uzinifu, mtu hupata kile atafutacho.

Mtu huvuna alichopanda.
Hujui kitu kuhusu habari za Mungu.
nyamaza tu
 
Mkuuu...INATOSHA KUSEMA MUNGU HUMJUI...

Kama huyo Mungu alikuruhusu Wewe kuzini....Kisha okomalie bikra ya WANAWAKE..

Mimi Nadhani MAswala Ya MUNGU HUYAJUII..
BALI UMESIMAMA KWENYE MUNGU WA BIKRA YA MWANAMKE.
Hahahaaaaaaa 😂😂
Mimi nisha ona tunadili na mpumbavu mmoja aliyekuja na story za Kutunga.
Wakati bado anaishi kwa Baba yake.

Yeye mwenyewe ukute kaowa bikra ya malimao.

Au mke wake ukute ndo wale walikua wanafanywa nyuma ili kutunza bikra yake.
 
Hizo aya zimetukataza kuwakosoa wenzetu akwa lengo la sisi kujikweza. Biblia imeweka wazi umuhimu wa kukemeana pale wenzetu wanapoenda kinyume na utaratibu mwema. Soma Biblia na uitafakari vizuri bila kupotosha.

Mungu hawachukii watenda dhambi ila ujue kuwa anaichukia dhambi. Hivyo usitende dhambi kwa kuwa unajua hakuchukii, huko ni kutumia vibaya upendo na fadhila za Mungu which is sin in itself.

Usipokemea uovu na wewe unakuwa umeshiriki kwenye uovu kwa "dhambi ya kutokutenda". Dhambi nyingi tunazitenda kwa kutotenda chochote kuzuia uovu.

Kemea uovu, Mungu anachukizwa na dhambi.
Hakuna unachojua kuhusu Mungu.
 
Alaaa kumbe utandawazi ndo unawafanya muwe hivo. Ko hofu ya Mungu siku hizi hamna tena.
Kwa sabb dunia siku hizi inawaaminisha watu katka ushoga na usagaji tafsir yake hata ww upo???

Ungenyamaza tusingejua madhaifu yako, kama uliharibu bc tulia wafundishe wengine wasiharibu.
Nawaonea huruma mana watot wako nawaona wakiharibikiwa kwa kukosa elimu yako.

Eneweyi: sipendag watu wanaotafta purisiteji fo nathingi!
Last reply

chukua time!
 
Nina swali:

Aliyeowa mwanamke bikira but mwanamke ni mpagani (hamjui Yesu) na
Aliyeowa mwamke asiye bikra ila mwanamke kampokea Yesu kua mwokozi wake (kajengeka kiimani)

Yupi mjanja/ yupi atakua na Ndoa nzuri zaidi.
Mkuu umeoa asiye kuwa na bikra??
 
Pole kwako kuwa na one sided view of life!...

na wewe utaoa bikira, utampata wapi?...

One side view ipi!

Sio lazima nimpate bikira, lakini haiondoi ukweli kwamba ni kwa vile tu sijampata.

Ukianguka sehemu ni muhimu kukiri na kujisahihisha, na sio kuhalalisha anguko langu kuwa ni super!

Mjinga wakati wa kwenda tu.
 
Mkuu umeoa asiye kuwa na bikra??
Mimi hata sitetei wasio na bikira.

Namtetea mwanadamu atambue kua hata atende nini chini ya jua bado anayo nafasi ya Kukaa na Mungu na kuwa milki ya ufalme wa Mungu.
 
Back
Top Bottom