Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wewe unaendesha lipi? Cruiser used au Passo mpya?
Gari used au mpya yote sharti yawe ya jamii moja ndipo mfano wangu utakapoeleweka
Mnapotoa mifano kama hii muwe mnaangalia na hali halisi! Maana kwa mfano wako hauwezi kufananisha Cruiser used na Passo mpya!
 
Point ya jamaa siyo kupewa tunda wa mwisho au kula makombo! Point yake ni kwamba mwanaume unaweza kuoa mwanamke bikira na bado akakusaliti kwenye ndoa kama huyo mwanamke alivyomsaliti mumewe na kutembea na jamaa mbona mnajifanya mnakaza vichwa!
Watu wamekaza vichwa kwel hata hawaelewi mada inasemaje sema siwalaumu Jokajeusi kawakamata kwel kwel [emoji23][emoji23]
 
Jamani kama tulivyokubaliana kila Ke akaolewe na aliyemtoa bikra.

Au nasema uwongo ndugu zangu.
 
Wewe unaendesha lipi? Cruiser used au Passo mpya?
Gari used au mpya yote sharti yawe ya jamii moja ndipo mfano wangu utakapoeleweka
Nilijua tu lazima ungegeuza kibao japo mwanzo ulisema gari tu! Kuna watu wamenunua magari mapya na yamewahi kuharibika kuliko walionunua used (ya jamii moja) within a given amount of time so uimara wa gari hauna msaada wowote kwa mtu asiyejua namna ya kulitunza!
 
Watu wamekaza vichwa kwel hata hawaelewi mada inasemaje sema siwalaumu Jokajeusi kawakamata kwel kwel [emoji23][emoji23]
Ndiyo baadhi ya wanaume tuliobaki nao kwenye kizazi cha sasa! Wenye akili za kushikiwa wale wanaojifanya wazee wa "bros before hoes" badala ya kuangalia hali halisi ya ndoa za sasa!
 
Hivi yule kijakazi ambaye nabii Ibrahimu alizaa naye alikuja kuolewa na nani na watoto wake ni akina nani?
 
Point ya jamaa siyo kupewa tunda wa mwisho au kula makombo! Point yake ni kwamba mwanaume unaweza kuoa mwanamke bikira na bado akakusaliti kwenye ndoa kama huyo mwanamke alivyomsaliti mumewe na kutembea na jamaa mbona mnajifanya mnakaza vichwa!
Chukua Fanta Baridi na popcorns nakuja kulipa.
 
Manungayembe ya JF yamekutuma uje kuyajibia kijanja hao waliokutuma waambie walikolala wao sisi tumeshaamkia huko muda mrefu sana so msimamo ni ule ule kwamba “mwanamke asiyekuwa na bikra hadi anaingia ndoani huyo ni sawa na kopo la choo cha stand” kwa maneno mengine ni malaya wa city.
 
kama umebahatika/unategemea kuwa na mtoto wa kike basi muweke sana kwenye maombi
maana lolote ikiwa hilo laweza kumpata
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shukrani mkuu ila unaonaje ukaongeza kidogo ili nipate Safari Baridi maana wengine hizo soda hatutumii
Sikujua kama unapitia hiyo, weka Safari baridi kwa meza kula vitu. Mm nitapiga k vant kubwa.
 
Ahsante mkuu kwa kutukumbuka na sisi/mimi tusiyo akina Maria🤔 kuna watu walioa bikra na hawajatulia huko ndoani! Kuliko hata walioolewa siyo! Ni kuomba tu umpate mtu sahihi kama atakua bikra or not sawa .mtasettle vizuri tu. Kwahiyo tuje pm wote??
 
Umeanza vizuri na umemaliza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…