Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Na wale waliooa bibi Wa kizungu ili tupate utajiri ama tunalelewa na mijimama yenyewe Hela zao. Tuko kundi gani mkuu.
Ila bana hii dunia ni zaidi uijuavyo. Ni pana sana na kila MTU anakipata anachokitafuta. Ukitafuta bikra utaipata. Ukitaka bibi Wa kizungu utampata utakuwa bilionea na humu jamaa anakula ugali na bikra yake.
Kumbuka chaguo ama priority yako sio priority ya kwangu ama ya yule mkuu.

Binafsi maisha yangu ya ujana nilikutana na bikra kama tani hivi ila nilifanikiwa kuzifungua mbili nilishindwa kuzifungua.
Hayo wote wameolewa na hakuna anayetaka kukumbushia gemu.
 
Umeoa nunga embe kisha unakuja kujifariji hapa eti bikra si lolote si chochote. Maelezo yako tu yanaonyesha una uchungu wa kukosa bikra.
Duuh
We jamaa hata hujasoma story yenyewe mbona unaandika vitu havieleweki.
 
Back
Top Bottom