Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

subiri miaka mitatu zaidi mpaka wamalize uoe, cha msingi wewe chagua mmoja ambaye unamuamini, kisha muweke karibu yako sana, make sure anapata upendo wote kutoka kwako, mtoe out mara kwa mara, kumuepusha na lawama na laana anazosema joka jeusi hata mpaka utakapomuoa, tafuta malaya mbali kabisa endejea kujipigia taratibu ukimsubiri
Na ndo nacho Fanya hila kumtoa out Ni ngumu dini sana, hila tupo karibu sana kwa uyo wa miaka3
 
unayemuita mama yako mwenyewe mala*ya...people dont recognize that they are arguing with a FOOL!

naona kuhusu POLL unapotezea..umebakia kuita watu mzoga, huku unajijua mwenye ulivyo mzoga,na una mzoga umeuweka ndani, hivi you dont get it...GET OUT of that deluded world that you are in...mzoga we!
Issue hapa me naona Rio poll Bali ni kuhusu umuhimu Wa bikra..haijalishi wanaume wangapi wameoa wanawake wasio na bikra.
 
Duuh....yaaani Mama yako ufungue mdomo umuite Malaya...au unasema TU jamii forum..

Ndo Maana nakwambia maandiko ya Mungu huyajui..ulichokion kwenye bible Ni kutoaa Asie bikra tu
Tuwekane sawa kidogo, kwani malaya ni mtu wa namna gani?
 
Wanawake wakishajitunza automatic mwanaume hawezi kunyandua.

ZIngatia mwanaume hawezi kujitunza kwa sababu ya mwanamke bali mwanamke ndiye anayejitunza kwa sababu ya mumewe. Hii ni kutokana na sababu kuwa mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.

Yaani mwanamke ndiye anajitunza kwa ajili ya mume wake.
Wanawake wanatongozwa na kudanganywa. Vijana wa kiume wafundishwe wasiwe wahuni badala ya wanawake tu kufundishwa kuruka viunzi.
 
WEWE endelea kuzama na wewe kwenye hadithi,ulimwengu unavyoenda tofauti na wewe, wewe unaenda huku,wenyewe unaenda kule
Huyu Dada Anataka kutuaminisha kuwa ktk ulimwengu huu hakuna bikra kabisa.yani Kwa misimamo yaje no Kama vile hakuna anaezaliwa akiwa bikra.Hii inaashiria aliigawa bikra yake akiwa bado mdogo mnoo
 
hahaaaa sasa unadhania utanibadilisha msimamo wangu na haya mautopolo unayoyaandika?....ni vizuri umekubali sihitaji validation, so next step save your energy huwezi kunifundisha lolote.....hata wanaume wenzako watakua wanapita wanasonya jinsi ulivyopotea kwenye reality. stupid
Jokejeusi Hana lengo LA kukubadilisha wewe coz huna kitakacho kubadilisha maana Kama bikra huna na haiwezi rudi..Mada inawahusu wenye bikra na wanaume wanaotaka kuoa.
 
Wakuu Kwema!

SOMO MAALUM LA BIKRA

UTANGULIZI
Nimeona niandike humu Somo hili kwa Lengo la kuelimisha kizazi cha sasa, hasa Vijana.
Siku za hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa sana kuhusu umuhimu wa ubikira katika imani na jamii kwa ujumla, wote tunafahamu kuwa Maandiko katika Agano la kale na Agano jipya na hata tamaduni kwa ujumla yalisisitiza sana umuhimu wa kuoa mwanamke bikira!, Mila nyingi na tamaduni nyingi pia zinathamini sana umuhimu wa mume kuoa au kupata mwanamke Bikira, Bikira ni nini na ina umuhimu gani kiimani? Je kuna ulazima wa kuoa mwanamke Bikira? Kwa nini Mungu aliiweka bikira na kwa nini alisisitiza mwanamwali kuolewa bikira kuna jambo gani katika ulimwengu wa kiroho kuhusu ubikira, je kuoa mwanamke ambaye hakuwa na bikira kuna faida gani au hasara gani? Maswala haya yote yote yanatufikisha mahali hapa ambapo tunapaswa kuliangalia swala hili kwa kina na mapana na marefu.

View attachment 1680190
Mabinti Bikira Uko Afrika ya Kusini hupewa uthamani mkubwa sana katika tamaduni zao

Maana ya Neno Bikira kimaandiko!
Kwa mujibu wa tafasiri za Agano la kale neno bikira lilitumika kumaanisha Mwanamwali yaani mwanamke kijana asiyejua Mume au ambaye hajawahi kushiriki tendo la Ndoa, na kuna maneno kadhaa ya kiebrania yaliyotumika kuwataja wanawake hao, yaani BETULAH mwanamwali bikira asiyejua mwanaume au ambaye hajaingiliwa na uume bado kwa kiarabu BATULI, na BAHUR mwanamke au mwanamwali kijana na ALMAH mwanamwali bikira aliyetolewa mahari au ambaye yuko karibu kuolewa, Almah pia ilitumika kumaanisha mwanamke safi ambaye hakuna maswali katika kuthibitisha usafi wake, Neno hili ALMAH ndilo analolitumia Isaya Nabii katika Unabii unaohusu Mwanamwali atakayemzaa Masihi Isaya 7: 14. “Tazama Bikira (ALMAH) atachukua Mimba!.” Kwa hiyo kibiblia hii ilikuwa ndio maana ya neno Bikira. Hata hivyo Neno la Mungu lilikuwa na maana ya ndani zaidi kama tutakavyoiona baadaye.

Umuhimu wa Ubikira katika Ndoa.
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa kwa mujibu wa mafundisho ya kibiblia yaani Agano la kale na Agano jipya na katika mtazamo wa Mungu, Ndoa ilithibitika kuwa ni halali na takatifu endapo alama za ubikira zingeonekana katika tendo la kwanza la ndoa, Damu ambayo ingemwagika kwa mara ya kwanza ingeweza kuthibitisha kuwa mwanamke huyu ameingiliwa kwa mara ya kwanza, Damu hii ilihusianishwa kama damu ya agano lililo wazi kabisa kuwa ndoa hiyo ni ya halali na ni safi na kwa mume na kwa sababu hiyo huyo ndio angekuwa mkeo halali na mwenye kumuingilia ndio mmiliki halali wa Mume huyo

Walawi 21: 1,7 Biblia inasema hivi “ Kisha Bwana akamwambia Musa Nena na hao makuhani wana wa Haruni kuwaambia, Mtu ASIJINAJISI……. Wasimumwoe mwanamke aliye Kahaba, au huyo aliye mwenye UNAJISI, wala wasimuoe mwanamke aliyeachwa na mumewe: kwa kuwa yeye ni kuhani ni mtakatifu kwa bwana Mungu wake” ni wazi kuwa hapa BIBLIA iliwakatza Makuhani kuoa wanawake wenye UNAJISI yaani ambao sio safi yaani ambao wameshabikiriwa hivyo kwa ufupi walitakiwa kuoa mwanamke Bikira! Yaani ASIYENAJISIWA!

Ubikira katika agano la kale na wakati wa sheria uliinua sana thamani ya mwanamke, licha ya kuweko kwa mahari maalumu (Waebrania waliita Mohar Betulot) kiarabu (Mahar al Batul) sawa na “bride price for virgin” Mahari maalumu ya Ubikira, kwa sababu ya kukutwa Bikira, heshima kwa wazazi kwa matunzo mazuri ya binti yao, heshima kwa binti kwa kujitunza lakini pia ilithibitisha uwezo na kiwango cha juu cha uadilifu.

Katika Torati ya Musa mwanaume alipolala na mwanamwali aliyeposwa “ALMAH” na kuharibu uanawali wake alitakiwa kumuoa yeye, na kama Baba yake angekataa asimuoze binti yake kwa mtu aliyembikiri, mwanaume huyo alipaswa kulipa mahari sawa tu na ile ya muoaji wa mwanamke Bikira “Kutoka 22:16-17

Kama mwanamume angembaka mwanamke Bikira alipaswa kwa mujibu wa torati kulipa shekel 50 sawa na mahari ya mwanamwali bikira na alilazimika kumuoa na hakupaswa kumuacha maisha yake yote Kumbukumbu 22:28-29
Kumbukumbu 22: 13-22
Biblia inasema hivi “13.Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia, 14. kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira; 15. ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni; 16. na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia; 17. angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji. 18. Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi, 19. wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote. 20. Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira; 21. na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Kupoteza ubikira kungegharimu adhabu ya kifo kwa kijana wa kike na, kuondoa bikira ya mwanamwali kulilazimu kulipa mahari na kumuao hii ilikuwa sheria nzima ya uanawali au ubikira katika agano la kale au torati ya Musa

Katika agano jipya pia mwanzoni Ubikira ulichukuliwa kuwa ni sehemu ya Maisha ya kujitoa na kumtumikia Mungu, mtu alipaswa kuishi maisha ya uanawali siku zote za maisha yake ni hii ingekuwa ni sadaka Sacrifice kuwa ameyatoa maisha yake kwa Yesu na hataki kuruhusu Unajisi katika maisha yake hivyo wazee wengi nyakati za Kanisa la kwanza waliwatunza binti zao, wasiolewe waishi maisha ya kumtumikia Mungu, jambo hili lilifanywa kwa usimamizi wa mzazi vilevile kama ilivyokuwa katika agano la Kale kwa vile kama binti angenajisiwa au kubikiriwa aibu ingekuwa kwa familia nzima, lakini ingekuwaje sasa kama binti anajisikia kutaka kuolewa Paulo mtume akashauri

1Wakoritho 7: 8-9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado na wajane Ni heri wakae Kama mimi nilivyo, Lakini kama hawawezi kujizuia na waoe; maana ni afhadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa”
1Wakoritho 7: 25-28 “ Kwa habari za wanawali sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kwa rehema za Bwana kuwa mwaminifu. Basi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shida iliyopo, kwamba ni vema mtu akae kama alivyo. Je! Umefungwa kwa mke? Usitake kufunguliwa. Umefunguliwa? Usitafute mke. Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo.

Wanawali wanaotajwa hapo ni vijana wa kike walio bikira kwamba kwa mujibu wa Paulo kama wanaamua kujitoa na kuishi maisha hayo ya utawa ni vema na kama wanaamua kuolewa hawana hatia yaani sio dhambi
Kwa hiyo katika falsafa za agano jipya kuishi maisha ya ubikira ilikuwa ni aina ya sadaka Sacrifice ambayo madada wengi wanaishi maisha ya utawa hulazimika kuwa bikira na hawasumbuki katika maisha yao kwa vile hawajui lolote HAWAJANAJISIKA!.

Umuhimu wa Ubikira kwa mujibu wa Tamaduni za kiyahudi.
Kwa mujibu wa tamaduni za Kiyahudi na katika vitabu vya tamaduni zao vijulikanavyo kama Talmud, Halakhah na Hagadah Marabi wakuu kama Gamaliel na Eliezer na Joshua bin Hananiah wanatoa maoni yao kuwa kulikuweko na utata kadhaa katika kuziangalia alama za ubikira kwani wakati mwingine alama za Damu hazikuonekana kabisa katika harusi kadhaa huku kikiwa na uhakika kuwa mabinti hao walikuwa safi na hawakuwa wamenajisiwa ugumu wa uume kuingia katika uke ulionekana na ulisumbua katika hatua za awali za ndoa au tendo la ndoa hii ilipelekea kuondoa umuhimu wa Damu katika kuthibitisha ubikira wa mwanamke hata ingawa damu ya ubikira ina kiherehere na humwagika kwa wingi tu katika mtindo ulio wazi kuwa mwanamke huyu ni bikira lakini sio wote wanakuwa na alama hiyo na hivyo labda kungekuweko uwezekano wa kuhukumiwa kwa mabinti wasio na hatia ambao ubikira wao uliweza kutokuthibitika katika mazingira mengine

Mkazo mkubwa wa ubikira unapochunguzwa vyema Katika maandiko ulimaanisha KUTOKUNAJISIKA, ASIYENAJISIKA, UNAJISI ni lazima kujiuliza unajisi ni nini kunajisika kunakozungumzwa hapo ni nini? Neno unajisi kwa urahisi ni kuchafuka, kuchafuliwa n.k. kuingiliwa kwa mwanamke katika tendo la ndoa kungepeleka taarifa ya uzuri au ubaya wa tendo hilo katika Ubongo na ungerekodiwa mara moja, taarifa ya utamu wa tendo la ndoa ingekuwa imeingizwa kwa mwanamwali ambaye hakuna mtu wa kumuoa bado, uhitaji wa tendo ungeingizwa mapema kwa binti katika ubongo wake, angeanza kuwakwa tamaa ya kutaka mume huku hakuna wa kumuoa na hivyo roho ya ukahaba ingeingia kichwani na hivyo kumbikiri mwanamke kungeitwa kumnajisi au kumfanya kuwa kahaba, na kama binti aneshindwa kujitunza angeitwa mpumbavu kwa hiyo maana kubwa ya kiroho kuhusu UBIKIRA ni KUTOKUNAJISIKA.

Nisiwachoshe sana.

Kauli mbiu Yetu Miaka kumi hii: Usioe mwanamke asiye na bikra, usinajisi kizazi chako mwenyewe.

Jokajeusi
Mkuu kwa mujibu wa biblia kuna shida yoyote mtu kuoa mabikra wengi
 
Ukitaka ndoa yako idumu vitu viwili muhimu mwanaume anatakiwa awe navyo:
1. Pesa - mkeo na watoto wasiishi kwa kubahatisha wawe na uhakika wa kesho yao na hata ikiwezekana kusaidia wazazi pande zote mbili bila kuyumba.
2. Mfikishe kileleni mkeo - Hapa usisubiri masela wenye nguvu zao za kiume waje kumfurahisha mkeo.
Ukiweza kuwa na uwezo wa hivyo viwili hata ukioa kahaba utadumu nae.
 
Embu assume wale wanawake wanaobishana nami humu ndio wake zako na mama ya watoto wako, huoni jinsi watoto wako watakavyoharibiwa na wamama wenye attitude za namna ile?

Mkuu, ni bora uishi pekeako kuliko kuishi na mwanamke asiye na bikra, niamini huyo sio mkeo
Hivi wewe Joka umeoa?
 
Nilikuwa na rafiki wa kike ambaye tulipendana sana lakini kwa bahati mbaya/nzuri sikuwahi kufanya nae mapenzi ingawa mara moja nilishamwingiza room ila tulitoka hivi hivi. Tuliishi maisha hayo mimi nikiwa chuo na yeye akisoma Olevel na baadae Advanced level mikoa tofauti lakini likizo tukikutana Mara chache.

Nilifahamika kwao, wazazi wake wote walikuwa walimu tena kama wazungu maana nilikuwa naingia hadi kwao na binti ananisindikiza wakati wa kuondoka. Tulipendana tu japo sikumla ila kitandani tushacheza Sana na matembezi ya mtaani tukifatana kama kumbikumbi tulipanga tuoane, tulitoa hadi majina ya watoto wetu tutakaowapata. Lakini badaye tukatofautiana kwenye simu tukaachana kwa hasira ingawa kila m1 kwa shingo upande hakuna ambaye alitaka kujishusha.

Nilipomaliza chuo nikaajiriwa nyanda za juu kusini, Iringa na yeye akawa UDSM huko ndiko alipata mume aliye naye hadi Leo kwa harusi ya kanisani, katoliki. Pamoja na kwamba tuliachana hivyo na kufuta namba yake lakini alinipigia kila mwaka ifikapo birthday yangu na kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Nifupishe story, wale wazazi wake kumbe wakimchosha kumwuliza Mara kwa mara kuwa yule Jack (siyo jina langu) unawasiliana naye? Hivi mlikosana nini? Maswali hayo yakawa yanamfikirisha na kumnyima Amani. Kiukweli wale walimu(wazazi wake) walipenda Sana niwe mume wa mtoto wao.
Kisa Cha kuolewa na huyo jamaa alikuta yupo bikra tena University level, hakuamini akaenda kutoa posa na kumwoa bila kupoteza muda lakini kadiri ya maelezo yake alipenda bikra itolewe na mimi otherwise aliapa lazima tugegedane hata akiwa kwenye ndoa.

Katika hali nisiyoitegemea Kuna siku akanitumia msg kuwa yupo mkoa ninaoishi tena mji huo huo, sikuamini tukapanga kuonana, na tufanye faragha. Binti wa watu alilia sana ila mwisho wa siku akasema ni mipango ya Mungu na tushukuru kwakuwa kila mmoja wetu ana familia sasa, akasema aliapa katka maisha yake na hata mama yake alimwambia kuwa lazima animtafute popote anipe tunda. Ogopa mwanamke akiweka nadhiri!! Nilimtafuna vizuri sana alinifosi nilale lodge lakini sijawahi lala nje ya home kizembe hivyo, mke wangu angestuka. Niliongea na wazazi wake wote wawili kupitia simu yake, wananikumbuka sana.

Alinionesha picha za harusi yao, mme wake ni mtu mwenye kipato kikubwa sana, simfikii hata kidogo hadi binti anasema hafurahii maisha yale amekuta mali nyingi ambayo hajachuma akiwa na yeye. Hivyo sometimes anakosa uhuru.

Mume aliagwa kuwa anaenda kusalimia wazazi, kweli binti alienda kwao na siku ya pili akaunganisha kuja kwangu. Siku ya kuondoka pia alienda mkoa wa wazazi wake ili atakaporudi kwa mumewe ionekane ameshuka kwenye bus za kwao(mmewe ana desturi ya kwenda kumpokea stand kuu).

Mwenyewe anaamini Mimi na yeye Ni soulmates. Na kiukweli ndiye binti niliyewahi kumpenda kuliko yeyote.

Huyo ni mke wa mtu aliyekutwa bikra amenituku papuchi, hawa wenzetu hawana formula. Na anavyokazia kuwa sisi ni soulmates, hatuwezi kuachana milele.
 
Back
Top Bottom