Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ah kwa hiyo jamaa ukapewa papuchi...mie nakupongeza kwa kuila papuchi.

Hayo ya bikra mume ni bwege. Oa bikra ambaye tayari kashaingia mtaani sio bikra yupo chuo.
"Oa bikra ambaye tayari kashaingia mtaani sio bikra yupo chuo."

Huu ubaguzi umekithiri viwango duh!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Kwa hiyo wa chuo kabla ya kuingia chuo c alikuwa mtaani au mi sijaelewa!!?

[emoji16]
 
Jidanganye tu apo uyo jamaa kakuzid kete labda gu km ana kitambi na ww una sic pack embu fikiria hili kamtoa bikra pili atamzalisha tatu pesa anazo utamuweza wapi unakutana na demu kashatoa bikra jiulize kwann analia km bikra kitu simple ashampa ufalme mshikaj ww ni slave tu ndan ya ilo penz
 
Mtaani as in tayari kashaanza kutana na changamoto za maisha na ameanza kupevuka kiakili....watoto wenyewe wa chuo siku hizi 23 tuu tayari ana degree but dont mean she is mature.

Wacha atongozwe na bosi mara sijui ameenda function flani amekutana na handsome boy basi ndio hapo utajua huyu kakomaa. Na pia unajua interests na mitazamo ya mambo ubadilika sana. Wee jifikirie mawazo yako wakati upo chuo and lets say ulipofikia miaka 27 au 28
 
Wewe ni mtunzi mzuri,
 
Bikra bikra wakuu kama ni bikra nimetoa kama mabinti wanne na tumedate kwa mda kama miezi miwili lakini wala hakuna anaenikumbuka wote wameolewa na wanaendelea na maisha yao bikra sio shida shida ni imependwa kiasi gani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…