Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

USIONE SIFA,KWANI MAMA AKO ALITOLEWA BIKRA NA BABAAKO?

NINACHOJUA MKE MWEMA ANATOKA KWA MUNGU,

NA NDOA NJEMA PIA,INALINDWA NA MUNGU,NA SIO NA BIKRA.

(HIZO FIKRA ZAKO NA MAWAZO YAKO SIO SHERIA WALA PENDEKEZO)


#MJUE SANA MUNGU,ILI UWE NA AMANI#


[JAMAA ANGU AMETOKEA FAMILIA AMBAYO MAMAKE AMEKUWA NA WATOTO WAWILI KABLA YA KUOELEA NA BABA ALIYEISHI NAE MIAKA 40,LAKINI HYO,FAMILIA IMEKUWA MFANO MWEMA KAMA FAMILIA ILIYOBARIKIWA NA MUNGU,KWANI MTOTO WAO WA MWISHO ANA MASTERS, NA NDUGU ZAKE WATATU WALISHAWAH KUWA T.O KWA KILA MMOJA,MMOJA ALIKUWA T.O PRIMARY,MWENGINE ADVANCE NA MMOJA ALIBAKI LECTURE(UDSM) KWA GPA KALI...WAKIKE N MWANAMITINDO

U.K.



JITAHIDI KUMJUA MUNGU ILI UWE NA AMANI,MAANA INAONYESHA HUNA AMANI NA MOYO KWA KITU ULICHOFANYIWA NA MWANAMKE ASIYEBIKIRA KABLA YA KUMPATA HUYO,NA HIYO IMEKUPELEKEA KUCHUKIA WOTE....


NB: JE,UTAMUOZA MWANAO ALIYETOLEWA BIKRA NA MTU TOFAUTI KABLA YA KUOLEWA ?


#MJUE SANA MUNGU,UWE NA AMANI.
 
Watafanya ngono na nani hao wanaume kama wanawake mtajitunza?

Kumbuka sisi hatupo kwa ajili yenu bali ninyi ndio mpo kwa ajili yetu, sijui kama unaelewa
Aiseee kwanza kabla haujamuadress mtu uwe na uhakika na jinsia yake mzee! Sijajua hata nimesema wapi kuwa ni mimi ni ke!

Ukizingatia humu wengi hatufahamiani na kila mtu ana mitazamo yake hivyo wewe ukiamua kudhani kuwa mtu fulani ni wa jinsia fulani kwa sababu ya mitazamo yake hapo ndipo unapobugi! Na ndiyo maana nasema unayoyaongea huwa unaotea tu wala hauna uhakika nayo kama tu ulichofanya hapo!
 
kuna siku hapa nilisema....''mwanamke/msichana asie na BIKRA hapasi kutolewa mahari" , ni aibu iliyojificha katika tamaa zetu wanadamu.....but.....hao wenye bikra wako wapi.........????....
Watatoka wapi na wanaume ndiyo hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye magunia

Au mnafikiri watashushwa wengine halafu hawa tunaowachezea watakuja kuyeyuka ghafla
 
Unatetea Sana wasio na bikra, kama wew hauna au uliolewa ukiwa hauna usilazimishe wengine waoe wasio na bikra.


NB. USIOE MWANAMKE ASIE NA BIKRA
Mimi siyo KE mzee... Siyo kwamba nawatetea mkuu bali mimi naongelea uhalisia na siyo nadharia...

Hatuwezi kudanganyana humu kuwa wanawake mabikira ndiyo bora zaidi kuliko wasio mabikira wakati zipo ndoa za mabikira hazina amani na zipo za wasio mabikira zina amani... Isitoshe wanawake hizo bikira hawajitoi wenyewe mkuu...
 

Nina uhakika wewe ni mwanamke na ndio maana nimekujibu hivyo.

Hakuna mwanaume wa dizaini yako, hakuna narudia. Wewe ni mwanamke, na sioni dhambi kukuita hivyo kwani ndivyo ulivyo. Dume jike hujawahi kusikia. Yaani Cover ya nje ni Me lakini ndani ni jike, ndivyo ulivyo wewe.
Kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake, jike dume. Nje ni jike lakini ndani ni dume.

Hivyo siajabu ukashangaa kuitwa mwanamke
 

Wewe ni ke sema bado hujajijua, nina uhakika asilimia 90% ndani ni ke ila cover yako ya nje ndio me.
Hivyo hakuna anayekushangaa humu
 
Siku ukiweka picha ya huyo mkeo ndo nitajua kwanini umemkuta na bikra.
Ila kwa Sasa ni story za kijiweni
 

Huyo Mungu ndiye anasema tuoe wanawake wenye bikra sasa sijajua wewe unaabudu kamungu kapi hako.

Kuhusu suala la Mama yangu nilishalitolea ufafanuzi humu, hivyo kama ni mgeni humu naomba upitie nyuzi za nyuma.

Mwanangu hawezi kutolewa bikra bila ndoa mimi ningali hai.
 
Siku ukiweka picha ya huyo mkeo ndo nitajua kwanini umemkuta na bikra.
Ila kwa Sasa ni story za kijiweni

Njoo Sinza hapa Kwaremi utanikuta na Mke wangu utamjua. Ni mzuri wa sura na tabia
 
poa nitumie namba zako.
Nije nimuone.
Mimi nina uhakika Hana chura hana sura nzuri.
Hao NDo unaweza kuwapata wakiwa bikra Karne hii.
Njoo Sinza hapa Kwaremi utanikuta na Mke wangu utamjua. Ni mzuri wa sura na tabia
 


Mkuu kuhusu elimu ya darasani huna utakachonambia, ningekuwa sijasoma pengine ningekuona wa maana kutaja sijui Udsm, sijui GPA na blah! Blah!
Kwenye elimu ya mzungu nimefaulu kwa daraja la kwanza kuanzia shule ya msingi mpaka hapo Udsm.

Hakuna watu wajinga na maamuma kama wasomi wa zama hizi, wewe mtu kama kasoma hajui hata kuchambua mambo madogo kama ya ubikra huyo sidhani kama hata elimu aliyonayo inamsaidia. Hao hao wasomi ndio wanaoshindwa katika ndoa kwa kujifanya wanausasa kumbe upumbavu mtupu.

Huwezi sema watu wamjue Mungu kama akili zao zinazidiwa hata na wanyama, Mungu ni mtakatifu, msafi kamwe hawezi kukuruhusu uoe mwanamke malaya asiye na bikra wakati alikuagiza uoe mwanamke mwenye bikra, kama ishara ya usafi wake na uaminifu wake.
 
poa nitumie namba zako.
Nije nimuone.
Mimi nina uhakika Hana chura hana sura nzuri.
Hao NDo unaweza kuwapata wakiwa bikra Karne hii.

Nikirudi Tanzania nitakutafuta, uje Sinza hapa tuonane.

Siwezi oa mwanamke ninayemzidi uzuri, hiyo ndio unapaswa uweke akilini
 

Ndio hana akili hakuna nilipobisha,

Mwanaume hawezi jitunza, sidhani kama unajua hata maana ya mwanaume, na ndio maana nakuita wewe ni mwanamke.
 
nasema hivi .siku nitakapo muona mkeo huyo.ndo nitakuunga mkono kuhusu mtazamo wako.
Kwa Sasa hapana.
Nikirudi Tanzania nitakutafuta, uje Sinza hapa tuonane.

Siwezi oa mwanamke ninayemzidi uzuri, hiyo ndio unapaswa uweke akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…