Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

sasa mi nimeoa mwanamke sio bikira kwani mumewe alifariki kwa ajali wakati binti akiwa na miaka 23..je pia nimeoa LAANA?
 
Wewe inaonekana umeoa mwanamke asiye na bikra, so mada za joka jeusi zinakuumiza. Mpe talaka huyo mwanamke malaya uliyenae kisha tafuta bikra ili upunguze jazba na hasira.
Nilifikiri labda utakuwa umekuja na hoja kumbe ni wale wale tu! Nonsense!
 
Hahaha umekosa hoja sasa unaamua kukimbilia matusi! Wewe ni mnafiki tu kijana na sijui ndiyo unadhani kwamba eti ukiniita mwanamke ndiyo nitatishika au nitanyamaza!

Luka 6:42 "Au utawezaje kumwambia ndugu yako, ndugu yangu niache nitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichopo katika jicho la ndugu yako!"

Maandiko hayo hayo yamewaita watu kama ninyi wanafiki! Kwenye maswala ya mahusiano na mapenzi huwezi kusema eti wanawake tu ndiyo wana makosa au wanaume tu ndiyo tuna makosa ukiamua kuongelea hayo maswala lazima uainishe makosa ya jinsia zote mbili!

Sasa wewe kila siku umekazana kuwatukana wanawake tu kana kwamba ni wao tu ndiyo huwa wako astray kwenye mahusiano na mapenzi! Hata siku moja haujawahi kuongelea maovu ya wanaume kana kwamba wanaume huwa tuko right siku zote!

Kuna wadau kila siku kwenye mada zako huwa wanakuuliza vipi na mwanamke aliyetolewa bikira yake kwa kubakwa huyo unamuongeleaje? Nilitegemea ungekemea tabia ya wanaume kubaka wanawake lakini badala yake unajibu tu kihuni eti mwanamke aliyebakwa huyo ni case nyingine kana kwamba wanaume kubaka ni sawa tu!

Wewe ni mnafiki tu mzee! Unajifanya kutumia mwamvuli wa maandiko lakini kumbe lengo lako ni kuwatukana tu mama na dada zetu maana ungekuwa unaamini maandiko kweli usingekuwa unachagua maandiko ya kucite tena yale unayoona yanatufavour sisi tu!

You always sound like a mindless dunce! You are nothing but a certified misogynist na wewe hauna tofauti na wale wapumbavu wenzako wanaojiita feminists ambao wao kila siku kutukana wanaume tu na kutetea wanawake kwenye kila kitu tofauti yenu ni jinsia mnazotetea ila wote wanafiki tu!

Unafikiri neno la Yesu ni sheria/torati?

Torati ilitolewa na Mungu na ndiye mwenye uwezo wa kutoa sheria hao wengine ni watumishi wake kama mimi na wewe.

Ukishalijua hilo utaelewa hata maana ya injili, zaburi na Torati na Quran, sasa wewe kwa vile hujui maana ya mambo hayo ndio maana unajifanyia mambo ya kimbwa ukitumia baadhi ya mafundisho ukidhani huvunji sheria
 
sasa mi nimeoa mwanamke sio bikira kwani mumewe alifariki kwa ajali wakati binti akiwa na miaka 23..je pia nimeoa LAANA?

Mlivunja agano la bikra ?

Ukiishi na mwanamke laana huna haja ya kuuliza wengine wewe mwenyewe utajiona kwenye maisha yako jinsi mapito yako yalivyo
 
Nilifikiri labda utakuwa umekuja na hoja kumbe ni wale wale tu! Nonsense!

Hatuwezi rudia hoja kila siku kisa wapumbavu wachache kama wewe, hoja zimeshatolewa tangu awali, soma nyuzi za mwanzo, yaani turudie hoja kwa sababu yako mpumbavu?
 
Kitu kama haujawahi kukiona au kukisikia wewe haimaanisha kuwa hakipo au hakijawahi kutokea! Kama wewe hujawahi kuona wala kusikia basi huna haki ya kuwabishia wanaoongea kutokana na experience kumbuka no research no right to speak!

Ndiyo maana nikakwambia ukitaka tuamini fanya utafiti na utuletee takwimu hapa eti umejitolea mfano wa wewe na ukoo wako who the fvck is ukoo wako in this world consisting of more than seven billion people? Yaani unataka tuamini huo upumbavu wako unaosema based on ukoo wako as a sample?

Such a wasted sperm! Feckless good for nothing creature!

Sio kila jambo linafanyiwa utafiti, nimeshawahi kueleza humu, hoja zangu zipo pale pale mwanamke bikra hafai kwa ndoa, wewe kama umeolewa huna bikra jua wewe ndio chanzo cha mikosi ndani ya hiyo nyumba
 
Mimi siyo KE mzee... Siyo kwamba nawatetea mkuu bali mimi naongelea uhalisia na siyo nadharia...

Hatuwezi kudanganyana humu kuwa wanawake mabikira ndiyo bora zaidi kuliko wasio mabikira wakati zipo ndoa za mabikira hazina amani na zipo za wasio mabikira zina amani... Isitoshe wanawake hizo bikira hawajitoi wenyewe mkuu...

Bikira na tabia ni vitu viwili tofauti kabisa, nna jamaa yangu alioa bikira na ndoa imekufa .
 
Mlivunja agano la bikra ?

Ukiishi na mwanamke laana huna haja ya kuuliza wengine wewe mwenyewe utajiona kwenye maisha yako jinsi mapito yako yalivyo
Mbona tuna Maisha mazuri tu na nahudumia hadi watoto aliozaa na mume wake wa awali wanasoma na watoto wangu pale Feza na Academic
 
Mademu wa humu watakuambia hivi

""Kama unataka bikra Zaa wakwako""".

Ili hali kuna mdada humu katoa uzi Yupo bikra bado na anamiaka 32[emoji23][emoji23][emoji23]..hapo utagundua kua wao walitolewa Wakiwa sekondar .

Maisha uchaguzi buaaana!!
Hao walikuwa vicheche.
 
Serikali haina mtoto na haijawahi kuwa na mtoto, labda wewe ndio mtoto wa serikali.

Pesa kwangu sio agenda, wewe kama ulizaliwa familia masikini ndio utafute pesa sio mimi,

Kama hukuolewa na mwanaume aliyekutoa bikra basi jua uliyenaye unamdhulumu
Elimu yako ndogo,umerogewa ujinga.


By the way,am a MAN.


Punguza UVULANA
 
Aiseee kwanza kabla haujamuadress mtu uwe na uhakika na jinsia yake mzee! Sijajua hata nimesema wapi kuwa ni mimi ni ke!

Ukizingatia humu wengi hatufahamiani na kila mtu ana mitazamo yake hivyo wewe ukiamua kudhani kuwa mtu fulani ni wa jinsia fulani kwa sababu ya mitazamo yake hapo ndipo unapobugi! Na ndiyo maana nasema unayoyaongea huwa unaotea tu wala hauna uhakika nayo kama tu ulichofanya hapo!
Huyu jamaa anatatizo LA kisaikojia,


Anamuita kila mtu KE,ili kumshinda kisaikolojia,yaan yuko anajibu kama vita,na sio kujifunza.

NB: kaniita KE pia,badala ya mkuuu wkt mie ME.(cjui anatumia kigezo gan)
 
Saint Anne pitia hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii tag ndio naiona Leo
App yangu hainipi notification.

Nimepita,
Huyu anachoongea yupo sahihi kabisa ila ninachogombana naye ni kitu kimoja..
Anahamasisha wanaume wawe wazinzi.

Ni sawa na anatwanga maji kwenye kinu.
 
Ukituliza kichwa huu uzi utakufungua macho (hasa sie ambao hatujaoa). Kuchukulia mambo haya ya bikra na ndoa kiurahisi ndio janja ya ibilisi kupotosha hiki kizazi na kile kijacho.

Ibilisi anataka tuamini kua bikra hazipo tena,hata zikiwepo upatikanaji wake ni mgumu sana hivyo hazina umuhimu kiviile!

Tunasahau kua mambo mazuri yapo ila si rahisi kuyapata, na ni wachache wenye uvumilivu wa kuyafikia mfano ni pepo na hizo ndoa takatifu(mwanamke akiwa bikra).

Mtoa mada kaelezea vizuri maana ya bikra kimwili na kiroho pamoja na faida zake, lakini vijana tunajitoa ufahamu na kujifanya hayawani kisa tu mwanamke kakuvutia!
Mwenyezi Mungu sio kigeugeu km sie binadamu tusioelezeka,neno lake halijawahi kubadilika.
Mtoa hoja kaweka na vifungu mbalimbali kuthibitisha umuhimu wa hiyo bikra, na akaweka na fungu ktk biblia linalosema kua hata Yesu alizaliwa na mwanamke bikra!(huu ni muujiza mkubwa na ushahidi kua Mungu anasimamia neno lake).

ibilisi anataka tuwe watumwa wa tamaa za mwili, siku zote ibilisi yuko kinyume na neno la Mwenyezi Mungu, ibilisi anatutoa ufahamu ili tuchukulie mambo kiurahisi na kwa mazoea!

Chanzo cha dhambi ulimwenguni ni ibilisi kupitia mwanamke, na leo hii wanawake wanajitahidi ku'justify uzinzi wao kisa kila mtu ni mdhambi eti hata wasio na bikra huolewa na kuzaa pia, ndio watazaa lakini uzao mchafu!

Mwanamke unashindwa kujitunza, halafu unajitetea eti Mungu husamehe.. ushaambiwa Mungu hachukii mtenda dhambi bali huchukia dhambi (iwe ya aina yoyote ile), na binadamu anayefanya dhambi kusudi kwakua Mungu atamsamehe anajidanganya..hilo liko wazi( yaani leo uzini uombe msamaha,kesho urudie tena uombe msamaha and so on..huo ni upumbavu! Na Mungu anakuona km mbwa anayerudia kula matapishi yake)

Vijana (wa kiume) tujifunze kutopelekeshwa na hawa wanawake, tuwe na msimamo..ndoa na mwanamke utakayemfungua mwenyewe itakuepusha na majanga mengi (kimwili na kiroho).
Mwanamke aliyejitunza hata fikra zake ni kama mtoto mdogo na anakua na imani haswa pia akiwa mkeo obviously atakusikiliza maana weww ndio kiongozi wake.
Binafsi nimemuelewa sana mtoa hoja na nia yake njema ya kukemea huu uovu unaoendelea kuhalalishwa hasa na wanawake waovu (wakisaidiwa na shosti yao mkuu ibilisi bin kigalula).
Hakuna mtakatifu chini ya jua ila haituzuii kukemea dhambi kwa faida ya kizazi kijacho (maana hiki cha sasa nahisi ndio basi tena).

Tusiogope, km torati ya Musa ilitoa adhabu ya kifo kwa mwanamke asiyejitunza utu wake kabla ya kuolewa basi hii kitu ni siriasi sana zaidi ya tunavyodhani!
Narudia tena, mambo mazuri yapo kwa wavumilivu pekee (awe me au ke)..usitegemee kuzurura mitaani kutafuta bikra km majani ya chai.
Ushaambiwa mke mwema hutoka kwa Bwana, unadhani hiyo sentensi ina maana gani?? Kijana wa kiume jitunze kimaadili uwe na heshima, eventually utapata mwenza mnayeendana (amini kwamba lazima tu atakua bikra maana Mungu mwenyewe ndio kakukonektia). Mfano Isaka alivyotunukiwa Rebeka..

Mtoa hoja usihofu, endelea hivyo hivyo..binafsi umenifungua macho na panapo majaaliwa nitaoa bikra safiii kutoka kwa incharge mwenyewe Allah Yehova Bwana wa majeshi..ameen!
 
Back
Top Bottom