dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tag ndio naiona Leo
App yangu hainipi notification.
Nimepita,
Huyu anachoongea yupo sahihi kabisa ila ninachogombana naye ni kitu kimoja.
Anahamasisha wanaume wawe wazinzi.
Ni sawa na anatwanga maji kwenye kinu.