Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

What is the best wedding gift any woman would receive from his newly wedded husband?
 
Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Wanatamani sana wazikute bikra hiyo siku ya fungate wakati huohuo wakati wa uchumba wanataka kutest mitambo.

Kweli wanaume hadi sasa sijafanikiwa kuwaelewa wanataka nini!
hawajui wanachokitaka[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Naweza kumvumilia mwanamke ila awe na uhakika kama anayo kweli iyo bikra ila tofauti na hapo never
Mwingine hata ukimpa uhakika bado hataki
Anasema haiwezekani
Hii dunia kuna contradictions nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…