Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanatamani sana wazikute bikra hiyo siku ya fungate wakati huohuo wakati wa uchumba wanataka kutest mitambo.

Kweli wanaume hadi sasa sijafanikiwa kuwaelewa wanataka nini!
hawajui wanachokitaka[emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi mwenyewe ndo hivo siwaelewi
Wanatetea bkr hapa halafu kesho unasikia sioi mwanamke ambae sijui yukoje huko chini
Sinunui mbuzi ndani ya gunia Mimi

Wanatakaje?
 
Mimi mwenyewe ndo hivo siwaelewi
Wanatetea bkr hapa halafu kesho unasikia sioi mwanamke ambae sijui yukoje huko chini
Sinunui mbuzi ndani ya gunia Mimi

Wanatakaje?
Mimi nina uzi wangu
Katika point nilizoandika , moja wapo ilikuwa "Usizini"
Walikuja wakanishambulia sana kwa kila aina ya maneno..
Halafu hao hao nawakuta tena kwenye uzi wa joka jeusi wanaita wanawake malaya [emoji119][emoji119]
 
Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Sio lazima kwenye harusi upate zawadi special, mbona tuna vaa mitumba, tunaendesha mitumba, itakua mke used, kawaa sana.

ila walioipata hii Zawadi wapo, wataendelea kuwepo kama wanaonunua gari zero kilometer. Sio lazima tufanane ila kujua you are the first ni jambo la kheri, dunia haiko perfect.
 
Hata Mimi binafsi ningefurahi sana kama mke wangu bikra yake ningetoa Mimi. Na ningekuwa very proud of her.

Lakini sifa za mke sio bikra pekee, nikakubali tu kufanya compromise.
Bkr sio guarantee ya ndoa tamu
Unaweza ukamzindua akaja kukutesa analalwa na mjinga mzima hadi na boda boda Na muuza genge.
Unaweza uoe asie na bkr na ndoa ikawa tamu furaha tele.
Sio guarantee kwamba hatokucheat wala kutovunjika ndoa.
 
Mimi nina uzi wangu
Katika point nilizoandika , moja wapo ilikuwa "Usizini"
Walikuja wakanishambulia sana kwa kila aina ya maneno..
Halafu hao hao nawakuta tena kwenye uzi wa joka jeusi wanaita wanawake malaya [emoji119][emoji119]
Wanaume sio wa kuwaamini
Mabinti wengi waliharibiwa sababu ya kuwaamini hasa viumbe kwa ahadi ya nitakuoa..wakaachwa kwenye mataa
 
Yeah
Ni jambo la fahari sana na heshima
Lakini sio guarantee kwamba hautapinduka wala kupata ajali ama likakusumbua na kukuetesa sababu ulilizndua mwenyewe likiwa zero km
Hahahaa
Umenichekesha ulipofananisha na gari mkuu..
 
Tunachohitaji ni WATU tunaoendana kimsimamo.
Kama iam born again nimeazimia mpaka ndoa ntahitaji mtu wa aina hiyo
Kinyume na hapo anipishe..

Oh kama hutoi sikuoi fresh tu aende.
Hapa umenena[emoji122]

Cha kushangaza zaidi,mtu anaomba Mungu ampe binti kwenye hofu ya Mungu..born again lady.
Mungu alivyo wa upendo anampa,Sasa baada ya siku kadhaa anaanza mwita gheto ama sehemu ambazo ni mazingira mazuri ya dhambi kuwavuta.

Binti anakataa kwenda huko akijua kabisa nikienda kifuatacho ni hiki..

Kijana anaanza sema oh binti mwenyewe mbona Sasa haji!

Sasa najiuliza,alitaka hiyo hofu ya Mungu imsaidie wapi??


Anasema nataka mtu anayeshika amri za Mungu.
Anampata afu anasema tena oooh mitambo sijui tujaribu!
Sasa mwenzio ameshika amri halafu unataka aachie tena[emoji134]!

Wanaume bado sijapata kuwaelewa[emoji119]
 
Najiuliza, hivi kweli kuna mwanaume hajawahi kufanya tendo la ndoa akisubiri mpaka ndoa halali? Kama yupo hana haja ya kulipa mahari kwani hiyo ni zawadi ya pekee kwa mwanamke. Ataona wanawake wote wapo sawa hivyo kuchepuka kwake mwiko.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ongeeni yoote mtakayo,,, jiteteeni vyoote mjuavyo ila ukweli mchungu ni kwamba, hakuna mwanaume anayependa kuoa mtumbaa,,,, yeess mtumbaa.

Ni busara na hekma tu za kibinaadamu zinahitajika kutumika kumuoa mwanamke asiyekua na bikira. Japo ni kweli bikira siyo guarantee ya mke kutokuchepuka au ndoa kudumu,,, ila kuwa wa kwanza kuna raha yake tusidanganyane hapaaa.

Wanaume wengi huwa tunajivunia kukata utepe kwanza inaleta heshma ila hainifanyi kumdharau mwnamke asiye na bikira.

Nimalize kwa kutoa tu mfano rahisi kwenu wanaume ,,, Hivi kwa mfano umempenda binti wa watu umejitoa kwa hali na mali mpaka ukachukua maamuzi ya kumsitiri ( kumuoa ) pamoja na kwamba hana bikira,,,,, halafu unadunda nae kitaa unaviimbaaa mwenyew then mtaa wa pili hapo or anajitokeza mwamba from nowhere huko anakusanifu "Acha kuvimba na huyo mwnamke maana mie ndo niliyekufungulia njia hapo,,, naujua mwili wa mkeo mpk maumbile yake".... ofcourse inakera sana kama siyo kumshusha thamani mkeo hata kupelekea mkeo kuwa weak kwa huyo jamaa yake aliyembikiri pamoja na kwamba hawa dada zetu huwa hawaishi kujitutumua na vijimaneno vya hapa na pale ila ukweli ndo huo wazee,,,, BIKIRA ina raha yakeee,,,, anayebishaa aandamane.....!!!!
 
Virginity is a woman's glory i regret opening my legs to my ex boyfriend if i could have waited a bit my husband would be more proud of me than now
Sure. Makes a husband feel great. I had the privilege of being the first man entering the promised land to my wife,,,, gosh!!! The feeling is extraterrestrial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…