Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Hongera kama NI kweli[emoji115]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kama NI kweli[emoji115]
Ila asijilete sasa🚶🚶Hongera kama NI kweli
Mimi mwenyewe ndo hivo siwaelewiWanatamani sana wazikute bikra hiyo siku ya fungate wakati huohuo wakati wa uchumba wanataka kutest mitambo.
Kweli wanaume hadi sasa sijafanikiwa kuwaelewa wanataka nini!
hawajui wanachokitaka[emoji119][emoji119][emoji119]
Hongera kama NI kweli[emoji2321]
Mimi nina uzi wanguMimi mwenyewe ndo hivo siwaelewi
Wanatetea bkr hapa halafu kesho unasikia sioi mwanamke ambae sijui yukoje huko chini
Sinunui mbuzi ndani ya gunia Mimi
Wanatakaje?
Sio lazima kwenye harusi upate zawadi special, mbona tuna vaa mitumba, tunaendesha mitumba, itakua mke used, kawaa sana.Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Bkr sio guarantee ya ndoa tamuHata Mimi binafsi ningefurahi sana kama mke wangu bikra yake ningetoa Mimi. Na ningekuwa very proud of her.
Lakini sifa za mke sio bikra pekee, nikakubali tu kufanya compromise.
Utamfanya niniIla asijilete sasa[emoji124][emoji124]
Wanaume sio wa kuwaaminiMimi nina uzi wangu
Katika point nilizoandika , moja wapo ilikuwa "Usizini"
Walikuja wakanishambulia sana kwa kila aina ya maneno..
Halafu hao hao nawakuta tena kwenye uzi wa joka jeusi wanaita wanawake malaya [emoji119][emoji119]
Takimbia kama yusufu kwa mke potifa🏃🏃🏃😆😆Utamfanya nini
Hichi ndicho wasichosemaVirginity is a woman's glory i regret opening my legs to my ex boyfriend if i could have waited a bit my husband would be more proud of me than now
YeahSio lazima kwenye harusi upate zawadi special, mbona tuna vaa mitumba, tunaendesha mitumba, itakua mke used, kawaa sana.
ila walioipata hii Zawadi wapo, wataendelea kuwepo kama wanaonunua gari zero kilometer. Sio lazima tufanane ila kujua you are the first ni jambo la kheri, dunia haiko perfect.
Halafu nashangaa sana..Wanaume sio wa kuwaamini
Mabinti wengi waliharibiwa sababu ya kuwaamini hasa viumbe kwa ahadi ya nitakuoa..wakaachwa kwenye mataa
Tunachohitaji ni WATU tunaoendana kimsimamo.Halafu nashangaa sana..
Ndoa kama ipo ipo tu!
Mtu anakuambia fanya hivi ili akuoe....upendo hauna conditions hizo kandamizi.
Hapa umenena[emoji122]Tunachohitaji ni WATU tunaoendana kimsimamo.
Kama iam born again nimeazimia mpaka ndoa ntahitaji mtu wa aina hiyo
Kinyume na hapo anipishe..
Oh kama hutoi sikuoi fresh tu aende.
Mkuu nyie mnanyoosha mguuAmbao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha nini🙄
Sure. Makes a husband feel great. I had the privilege of being the first man entering the promised land to my wife,,,, gosh!!! The feeling is extraterrestrialVirginity is a woman's glory i regret opening my legs to my ex boyfriend if i could have waited a bit my husband would be more proud of me than now