Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kunywa kinywaji chochote dada nitalipa
 
Yani unakuta jitu zima na miaka yake 25 eti linabikra...natamani hata nilibabue makofii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi watu wananshangaa khaaah, wallah JF idumu milele.
 
Kwani bikra hana mahusiano?
Bikra hana Ex?
Mbona ndio anaweza ongoza kwa maex na experience ya mahusiano
Hapa nakazia. Nna uhakika nalo.
Hadi nimecheka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nimewaza nini.
 
any woman would love to receive it too sio tu mwanaume
 
Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Nadhani kinachowafanya wanaume kutokuwa na subira ni ile hali ya kutaka kujua ukweli wa mambo kabla hajaoa mwanamke.

Mwanamke anaweza kukwambia ni bikra halafu muda umeshapita umejikoki na kumuoa kisha ukimuweka ndani unagundua she was faking the whole time.

Anakupa story za ooooh ilitoka na baiskeli au sijui ilitoka wakati napanda mti wakati hata hizo baiskeli kuendesha hajui na miti hajawahi kupanda.

Hii ndo inapelekea mwanaume anaoa kisha unashangaa ghafla anabadilika anatelekeza familia maana anakuwa na kisasi ndani yake.....

Bikra ni kuhimu sana katika ndoa wauame huwa ils kitu inawapa ujasiri wa kupenda mwanamke kwa moyo wote na kumjali kuliko chochote.....

But since imepotezwa now inaanza kuonekana ni kitu impossible kukipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virginity is a woman's glory i regret opening my legs to my ex boyfriend if i could have waited a bit my husband would be more proud of me than now
Bora wewe umekuwa honest. Mwanamke honest ni bora zaidi kuliko ambaye anakalia kutetea upuuzi wa kupoteza bikra katika mahusiano ya Ujana maji ya moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuvimba kabisa. Yaan ni kukaa kwa kutulia tu maisha yaende. Maana hakuna maajabu umefanya. In short its hard to be proud of her mbele ya watu wengine. Kama unaenjoy, basi utabaki unaenjoy ndani kwako tu kimya kimya (which is Good)
 
Token of appreciation 🤣🤣🤣 Jokajeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…