Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hapa umenena[emoji122]

Cha kushangaza zaidi,mtu anaomba Mungu ampe binti kwenye hofu ya Mungu..born again lady.
Mungu alivyo wa upendo anampa,Sasa baada ya siku kadhaa anaanza mwita gheto ama sehemu ambazo ni mazingira mazuri ya dhambi kuwavuta.

Binti anakataa kwenda huko akijua kabisa nikienda kifuatacho ni hiki..

Kijana anaanza sema oh binti mwenyewe mbona Sasa haji!

Sasa najiuliza,alitaka hiyo hofu ya Mungu imsaidie wapi??


Anasema nataka mtu anayeshika amri za Mungu.
Anampata afu anasema tena oooh mitambo sijui tujaribu!
Sasa mwenzio ameshika amri halafu unataka aachie tena[emoji134]!

Wanaume bado sijapata kuwaelewa[emoji119]
Kunywa kinywaji chochote dada nitalipa
 
Yani unakuta jitu zima na miaka yake 25 eti linabikra...natamani hata nilibabue makofii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi watu wananshangaa khaaah, wallah JF idumu milele.
 
Kwani bikra hana mahusiano?
Bikra hana Ex?
Mbona ndio anaweza ongoza kwa maex na experience ya mahusiano
Hapa nakazia. Nna uhakika nalo.
Hadi nimecheka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nimewaza nini.
 
Virginity is the best wedding Gift, Any man would receive from his newly wedded wife.

But lately there is no is nothing like that any longer because it will have already been given out as
Birthday Gift, Token of appreciation, Job assurance, Church collection, Examination making schemes , Taxi Fare.......
any woman would love to receive it too sio tu mwanaume
 
Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Nadhani kinachowafanya wanaume kutokuwa na subira ni ile hali ya kutaka kujua ukweli wa mambo kabla hajaoa mwanamke.

Mwanamke anaweza kukwambia ni bikra halafu muda umeshapita umejikoki na kumuoa kisha ukimuweka ndani unagundua she was faking the whole time.

Anakupa story za ooooh ilitoka na baiskeli au sijui ilitoka wakati napanda mti wakati hata hizo baiskeli kuendesha hajui na miti hajawahi kupanda.

Hii ndo inapelekea mwanaume anaoa kisha unashangaa ghafla anabadilika anatelekeza familia maana anakuwa na kisasi ndani yake.....

Bikra ni kuhimu sana katika ndoa wauame huwa ils kitu inawapa ujasiri wa kupenda mwanamke kwa moyo wote na kumjali kuliko chochote.....

But since imepotezwa now inaanza kuonekana ni kitu impossible kukipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virginity is a woman's glory i regret opening my legs to my ex boyfriend if i could have waited a bit my husband would be more proud of me than now
Bora wewe umekuwa honest. Mwanamke honest ni bora zaidi kuliko ambaye anakalia kutetea upuuzi wa kupoteza bikra katika mahusiano ya Ujana maji ya moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeeni yoote mtakayo,,, jiteteeni vyoote mjuavyo ila ukweli mchungu ni kwamba, hakuna mwanaume anayependa kuoa mtumbaa,,,, yeess mtumbaa.

Ni busara na hekma tu za kibinaadamu zinahitajika kutumika kumuoa mwanamke asiyekua na bikira. Japo ni kweli bikira siyo guarantee ya mke kutokuchepuka au ndoa kudumu,,, ila kuwa wa kwanza kuna raha yake tusidanganyane hapaaa.

Wanaume wengi huwa tunajivunia kukata utepe kwanza inaleta heshma ila hainifanyi kumdharau mwnamke asiye na bikira.

Nimalize kwa kutoa tu mfano rahisi kwenu wanaume ,,, Hivi kwa mfano umempenda binti wa watu umejitoa kwa hali na mali mpaka ukachukua maamuzi ya kumsitiri ( kumuoa ) pamoja na kwamba hana bikira,,,,, halafu unadunda nae kitaa unaviimbaaa mwenyew then mtaa wa pili hapo or anajitokeza mwamba from nowhere huko anakusanifu "Acha kuvimba na huyo mwnamke maana mie ndo niliyekufungulia njia hapo,,, naujua mwili wa mkeo mpk maumbile yake".... ofcourse inakera sana kama siyo kumshusha thamani mkeo hata kupelekea mkeo kuwa weak kwa huyo jamaa yake aliyembikiri pamoja na kwamba hawa dada zetu huwa hawaishi kujitutumua na vijimaneno vya hapa na pale ila ukweli ndo huo wazee,,,, BIKIRA ina raha yakeee,,,, anayebishaa aandamane.....!!!!
Huwezi kuvimba kabisa. Yaan ni kukaa kwa kutulia tu maisha yaende. Maana hakuna maajabu umefanya. In short its hard to be proud of her mbele ya watu wengine. Kama unaenjoy, basi utabaki unaenjoy ndani kwako tu kimya kimya (which is Good)
 
Token of appreciation 🤣🤣🤣 Jokajeusi
Virginity is the best wedding Gift, Any man would receive from his newly wedded wife.

But lately there is no is nothing like that any longer because it will have already been given out as
Birthday Gift, Token of appreciation, Job assurance, Church collection, Examination making schemes , Taxi Fare.......
 
Back
Top Bottom