Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Igweeeee!

Poleni na Msiba mzito, haya bila kupoteza muda niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Wanawake wa siku hizi wanamsemo wao usemao; siku hizi hakuna waoaji' wakimaanisha wanaume wa siku hizi ni chapa ilale. Hawajiulizi ni kwa nini siku hizi hakuna waoaji wao wanachokimbilia ni malalamiko tuu.

Hivi mtu anaanzaje kufikiria kuoa kwa nature ya wanawake wa siku hizi. Mwanamke hana bikra alafu akuhangaishe sijui kuandika barua(ndani ya barua iwepo pesa ndogo) kwenda kujitambulisha, kutoa mahari, pesa ya harusi, yote ya nini hayo wakati unajua kabisa unayemchukua yaliyomo hayamo?

Vijana wa siku hizi siwalaumu, na nawapongeza kwa hatua waliyoiamua kuichukua ya 'SOGEA TUISHI' hakuna barua ya uchumba, hakuna kujitambulisha, hakuna mahari, hakuna ndoa wala ndugu yake harusi, njoo tuishi. Hutaki kaa pembeni subiri wenzako wapo foleni niwahudumie.

Wewe hujajitunza bikra yako uje unisumbue mimi?
Huna bikra unataka nijichoreshe kwa Ma-ex wako wa kale siku ile ya harusi?
Huna bikra unataka nijikamue kutoa mahari na nifike kwenu ati wananifanyia usaili kwa maswali; Unaitwa nani, unafanya kazi gani, sijui blah blah blah....! Hayo maswali huulizwa na wakwe ambao watoto wao wametunzwa. Kama hamjamtunza mtoto wenu, hayo maswali mtamuuliza yeye, tena mtauliza Baba wa mtoto anafanya kazi gani, anaitwa nani, na ni mtu wa wapi, kipindi hicho mimi niko Dasalama nakula upepo wa bahari.

Ati kimwanaume kinajipigisha magoti kikimvisha pete mchumba wake asiye na yaliyomo wala dibajiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wewe kijana kama hujaoa na watu wanakuuliza kwa nini hauoi waambie bado unatafuta mwanamke bikra, no bikra hakuna kuoa, bali kubebana kishkaji.

Mwenye povu atoe, mimi nimeshamaliza yangu.
 
Kongole kwako
 
Nimekuelewa

Mkuu unashauri nini kwa mwanamke ambaye sio bikra ila umemzalisha je nae tusimuoe?

Swala la mahali wanisamehe kwa kweli nilipa 300K hela ya mama tu!!

 
WANAWAKE wakitunza usichana wao
Inatosha kabisa KUPUNGUZA
Ngono zembe
Sogea tuishi
Single Maza
Magonjwa ya zinaa
Mmong'onyoko wa maadili nk

WANASEMA nowdays imekua rahisi sana kupata MSICHANA kuliko kupata line bila namba ya NIDA
 
Mi nadhani watu wote ke/me inapaswa tujitunze kwani hizo bikra hatujitoi wenyewe tunatoana na nyie wanaume, it's shameful unataka kuoa bikra ila kutwa unachezea watoto wa watu. Afu bikra mbona mnaioverate sana aisee😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…