Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali NakubaliUnajua binadamu wanatabia ya kusahau bila spana za mara kwa mara kazi itakuwa ni bure
Maadili ni kwa wote bana! Ndiyo maana hata vitabu vya dini vimeandika "msizini" bila kutaja jinsia yoyote. Wote tunatakiwa kujitunza. Pia kujitunza kwetu wadada kunategemea na vishawishi vyenu sometimes, hujawahi kumshikikza mdada watu kuhusu sex wewe hadi huwa mnalia ?,mi naona kila mtu has to be responsible on this. Usinipe vishawishi nisikupe vishawishi.🤔
Sema bikra ni ndoto za kila mwanaume japo kwenye uhai wake abahatike kukutana nayosiku hizi mtaani katika stori kama hizi ukitaja neno bikra watu wanakukatisha kwa kukuuliza bikra ipi?
sijui hua wana maanishaga nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata me bado sijajua cha kushangaza mod watafuta huu uzi sijui wakoje!siku hizi mtaani katika stori kama hizi ukitaja neno bikra watu wanakukatisha kwa kukuuliza bikra ipi?
sijui hua wana maanishaga nini
Mods usiwalaumu sana sema kuna watu hawapitiagi muongozo wa kuendeshea mijadala humu mfano bikra sio neno lenye ukakasi hata kidogo yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata me bado sijajua cha kushangaza mod watafuta huu uzi sijui wakoje!
Wengi wanasemaga umri pia ukizidi bikra inapoteza moja ya vitu vyake sababu ya ukomavu wa oneo husika na hata siku ya kushiriki tendo damu zinaweza zisitoke kabisa....swala la baiskeli sina uhakika nalo ila hili la umri ninauhakika naloHivi hao ambao hawana bikra wametolewa na baiskeli au na wanaume..najaribu kuwaza tu
Wakati mwingine mod wanakasirika wanafuta uzi kwasababu ya wachangiaji utashangaa unaulizwa unazungumzia bikra ipiiMods usiwalaumu sana sema kuna watu hawapitiagi muongozo wa kuendeshea mijadala humu mfano bikra sio neno lenye ukakasi hata kidogo yani
Watu siku hizi tuna makasiriko sana sababu ya kasi ya maisha yani kubishana tumekuweka mbele wazoee tuWakati mwingine mod wanakasirika wanafuta uzi kwasababu ya wachangiaji utashangaa unaulizwa unazungumzia bikra ipii
Lakini haiwezi kulingana na yule mbobezi ambaye ni nguli kabisaWengi wanasemaga umri pia ukizidi bikra inapoteza moja ya vitu vyake sababu ya ukomavu wa oneo husika na hata siku ya kushiriki tendo damu zinaweza zisitoke kabisa....swala la baiskeli sina uhakika nalo ila hili la umri ninauhakika nalo
Vyote kwa pamojaHivi hao ambao hawana bikra wametolewa na baiskeli au na wanaume..najaribu kuwaza tu
Ndiyo mkuu tena wanasema mwanamke aliyeanza mapenzi wakati umri umeenda huwaga sehemu zake hazitanuki huwa taiti sana na hata kuzaa huwa hawapatagi matatizo ya uzazi kirahisiLakini haiwezi kulingana na yule mbobezi ambaye ni nguli kabisa
Sawa ChiefWengi wanasemaga umri pia ukizidi bikra inapoteza moja ya vitu vyake sababu ya ukomavu wa oneo husika na hata siku ya kushiriki tendo damu zinaweza zisitoke kabisa....swala la baiskeli sina uhakika nalo ila hili la umri ninauhakika nalo
Weee usiniambie bhanVyote kwa pamoja
Wa huko vijijini utasikia nilikua naendea maji mbali ikatoka kwa kunyonga baiskeliWeee usiniambie bhan
Una uzoefu jombaa sio poa...safiWa huko vijijini utasikia nilikua naendea maji mbali ikatoka kwa kunyonga baiskeli
Sio kiviileUna uzoefu jombaa sio poa...safi