Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maadili ni wote ndio sijakataa lakini, maadili hutokana na kundi moja kuumizwa ndio maana sheria huwekwa ili kundi hilo lisiumizwe. Ukiona sheria imewekwa jua kuna kundi moja linaumizwa, kuepusha mgogoro ndio sheria huwekwa.

Mwanamke ndiye anaushawishi mwilini mwake kuliko mwanaume, ndio maana sheria za mavazi zinamzuia mwanamke asivae nguo za uchi, bado tuu huelewi?

Waulize wanasheria watakuelezea uwepo wa sheria, maadili, miiko na desturi.
 
Hivi hao ambao hawana bikra wametolewa na baiskeli au na wanaume..najaribu kuwaza tu
Wengi wanasemaga umri pia ukizidi bikra inapoteza moja ya vitu vyake sababu ya ukomavu wa oneo husika na hata siku ya kushiriki tendo damu zinaweza zisitoke kabisa....swala la baiskeli sina uhakika nalo ila hili la umri ninauhakika nalo
 
Lakini haiwezi kulingana na yule mbobezi ambaye ni nguli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…