Safi sana kiongozi, mwanamke kama sio bikra ni marufuku kumuoa, kuoa mwanamke hasiye bikra ni chanzo cha kuzeeka kabla ya wakati.Huo ndo ukweli Mimi sitaoa had nipate mwanamke bikra , ninae dem ananipenda sana hata kuwe na mvua atanitafuta bila kujali ananyeshewa kias gan lakin sijamkuta bikra Mimi sina mapenzi nae kwakua najua tayari alishapendana na mtu mwngne kabla yangu had akakubal kumpa bikra mi naona ni kama ananiigizia kunipenda tu sina malengo nae yoyote sijawahi kuanza kumtafuta kwa sms wala kumpigia simu siku zote anaanza yeye
ila nikikumbuka sijamkuta bikra namchukia balaa maana nilitegemea ntamkuta bikra maana ni mtt wa dinidini sana
Kinacho matter ni mkata utepe tu wengine walikuwa washika mapembe.Ubahatike uwe first wa kukata utepe ila zile mishe nyingine since STD 6 wahuni washaanza
Wivu wa kijinga upoje?Wanatabu hao wivu wa kijinga utakereka mpaka utajuta ndani ya muda mfupi!
Kua uyaone!
Hivyo vinafanyika kwa jinsia yeyote na kwenye swala la maoni ya kifamilia tulidadavue kutokea mbali kidogo,Usio na hesabu wala uelewa!
Kususa Susa kwa kila mara.
Yani hata ikitokea mnatembea ukakutana na mwanamke mnaefahamiana kuwahi kuishi jirani au kusoma nae n.k nakwambia atanuna atazani ni mchepuko wako!
Simu yako atapekua na kukuhoji maswali ya kipuuzi.
Ukichelewa kurudi home ujue utakuta kesi ya kujibu.
Wanaishigi leo, hawanaga maono ya binafsi wala ya familia.
Nazani kwa hayo machache umepata picha.
ah wapi.
Labda kama na wewe ulijitunza na ukaiepuka zinaa.
Azawais, Karma atawapa yale yale magume gume mliyochezea na kuyabikiri na hamkuyaoa.
Me sitaki kusema mengi ila mimi kama mimi nakuombea joka jeusi upate hela kumzidi mkeo ila ukshndwa apo na karma uliyo ianza ile hufiki mba utaibiwa tu dudu ni dudu anasahau yote kama ulmtoa wewe cjui nini
kikubwa kuwa na hela zisiishe.
Sisi wanaume tunaanza majukumu pale tu tunapo balehe. Hizi habari za kusema miaka 25 - 27 mnazitoa wapi ?Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.
Sisi tunasema ndege wafananao ndiyo huruka pamoja. Mabinti bikra ni wengi sana,shida wengi si ndege wa kundi moja.Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.
Hii ingekuwa imeandikwa vitabuni. Mapenzi hutengenezwa mzee.Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.
Hii inategemea na kukata kwa kauli ya jumla si sahihi.Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.
Hatubishi ila umeandika uongo.Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.
Oa mwanamke mwenye tabia nzuri,mwenye kuzaa sana na bikra ni sifa ya ziada tu.OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
Kwanini huogopi kuandika uongo ?Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.
Hii first love ni mapenzi yenye utoto mwingi mapenzi yalijengeka katika mihemko na kubweteka.First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Bikra haina uhusiano na uaminifu wa mwanamke,update bahati awe na sifa zote.Oyooo!!
Mwanamke uliyemtoa Bikra 90% wanausikivu, utiifu, upendo wa dhati yote.
Na ukitaka uone Raha ya mwanamke basi is mwanamke Bikra, utajiona mfalme, mwanaume KAMILi.
Lakini ni ngumu Kwa mwanamke gumegume kukutii, kukusikiliza, kukuheshimu, na kukupenda Kwa dhati yote.
Usione watu wanalalamika wanawake WA siku hizi sio watiifu, wajeuri na Malaya Malaya, chunguza 90% hawakuolewa na Bikra zao.
Kadiri mwanamke anavyolalwa na wanaume ndivyo anavyokuwa na roho ya kishenzi.
Huwezi fananisha mwanamke aliyelala na Mwanaume mmoja na Yule aliyelala na wanaume kuanzia watano mpaka kumi.
Hata mtazamo wao ni tofauti na namna wanavyokuchukulia,
OA mwanamke Bikra ufaidi Maisha.
Maneno ya magume gume yasikuchanganye ndivyo walivyo.
Wewe mwanamke amelala na wanaume kuanzia watatu sijui watano bado umuoe na umuite mke Kama sio kulogwa huko ni nini?
Mapovu ya magume gume siyataki leo!!