Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kuna waliooa masingle mother na wana enjoy maisha.
Hao ni vighairi (exceptions)...Ni vichache na vipo kila mahali...na huwezi kuvitumia kufikia mahitimisho ya jumla (general conclusion) kuhusu suala husika...
 
Mambo yenu hata siwaelewagi nabaki kuwashangaa tu👀👀
 
Oyooo!!

Mwanamke uliyemtoa Bikra 90% wanausikivu, utiifu, upendo wa dhati yote.
Na ukitaka uone Raha ya mwanamke basi is mwanamke Bikra, utajiona mfalme, mwanaume KAMILi.
Naunga mkono hoja.
[emoji817]% True.
 
Kijana unaonekana una mke mmoja tu halafu huwajui wanawake.

Mwanamke hawi na mtiifu kwa sababu ameolewa akiwa bikra.

Utiifu ni katika tabia njema na kujitambua,sasa uhusiano na bikra sijui una utoa wapi ?
 
Hata kama wewe ni bamia, atajua tu wanaume wote wako hivyo, utaheshimiwa. Ila chunga sana wambea watambadilisha.
 
Huu ndo Ukweli mtupu japo watakuja wenye Kupinga wasioelewa mambo japo kuwa wao wanadhani Wanaelewa, Bikra ina maana kubwa sana

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Bikra haina uhusiano na uaminifu wa mwanamke,update bahati awe na sifa zote.
Wapo waliooa bikra na wanasumbuka na ndoa zao
Haiwezekani ulazimishe kuoa bikra halafu mwanaume uwe malaya
Umemuelewa alipo sema sema 90% au ulikua na ugomvi na somo la hesabu?
 
Dawa yao ni kuwapiga pumbu kipitiliza,atatulizwa na rungu tu.Nakwambia hivi mwanamke mkorofi awe mtoto au mtu mzima mboo itamtuliza,simamia ukucha uone km atakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…