Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hata hivyo ushasema unavyo amini.

Vipi na wewe umeoa bikra?
 
Nanukuu "Mwanamke Usikubali kuolewa kama huna bikra" Kwa maana unawasihi dada zetu wote wasiolewe? Maana siku hizi kumuoa mwanamke mwenye bikra ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.


Mbona nimeshaeleza kuwa hakuna mwanamke atakayeolewa ambaye sio Bikra.

Kuna wengine vitu used kwao ndio vipya,
Na vitu vichafu kwao ndio visafi
Humuoni Nzi na mende!!

Hivyo wanawake wataendelea kuolewa kulingana na mtazamo wa wanaume kutofautiana.

Wapo watakaoa wanawake wakiwa Bikra kweli.
Lakini wapo watakaooa wanawake waliotumika na kuwaona Bikra.

Hoja yangu ni kuwa, ukishamuoa mwanamke jua tayari umemkuta Bikra hata Kama hukumkuta nayo. Na nikosa kumuita Malaya au kusema alikuwa anama-ex wakati ulimkuta Bikra, hayo ni matusi na kumdharau Mkeo
 
Hata hivyo ushasema unavyo amini.

Vipi na wewe umeoa bikra?


Kwani wewe ni Mgeni hapa JF mpaka uulize hivyo.

Ninavyoamini na Kidini ndivyo ilivyo.

Fungate ikiisha Kama hutatoa dosari Kwa Mkeo basi inahesabika ulimkuta Bikra akiwa Hana dosari
 
Mkuu Ukraine huko ndio anaisha

Wapumzishe bikra kwa muda,
ebu toa tasmini yako juu ya Putin na msako unaoendelea
 
Usiuongelee uislamu mkuu inaonekana una knowledge ndogo sana upande huo kwa kifupi tu bikra ina tafsiri tofauti kwenye uislamu tofauti na unavyoelewa .

Kikawaida tumezoea na kujua kwamba bikra ni mwanamke ambaye hakuwahi kufanya mapenzi na kielelezo chake ni kale ka ngozi kanachokuwepo kameziba tundu ya uke (hymen) kanaweza kakawepo au kasiwepo ila tumezoea kwamba ukilala naye lazima damu itoke .

Lakini tumesahau kwamba kale kangozi (hymen) kanaweza kutoka kwa njia nyingi tu ikiwemo magonjwa au matibabu au hata michezo aliyokuwa akicheza huyo binti akiwa mdogo mfano ile yenye kuushughulisha mwili mfano rede , baiskeli, kupanda farasi n.k

Kwenye uislamu bikra ina maana ya kutokuwa na uzoefu kwenye suala zima la ndoa na mapenzi (sex) kwa huyo binti husika na ndiyo maana ndoa ya kiislamu inahusisha mambo haya

1.Makubaliano kati ya binti na muoaji (na hapa mahari anapanga na kuchukua binti)

2.walii kwa upande wa binti(Baba au baba anaweza kutoa ruhusa kwa ndugu yake wa kiume n.k).

3.mashahidi wawili mmoja upande wa binti na mwengine upande wa muoaji.

4.kiongozi wa dini.

Kwa binti bikra (asiye na uzoefu kwenye mambo ya mapenzi na ndoa ) kwa asilimia kubwa walii wake ambaye ndo baba yake yeye atasimamia kwa asilimia kubwa misimamo ya binti kwa maana ana uzoefu na mambo hayo hivyo atamuuliza binti yake kama ameridhia mwenyewe au kalazimishwa au kama anahitaji muda wa kufikiri zaidi amemjuaje huyo muoaji na mengine mengi tu.

Na atakaporidhika kuwa binti yake amekubali kwa ridhaa yake basi atapitisha ndoa kufungwa na hatohusika kwenye mahari ya bintiye maana binti ndo mwenye maamuzi na mahari ni ya kwake binti na atapanga aitakayo na ataitumia kwa kadiri atakavyoona.

Mambo hayo hapo juu huwa yanafanywa hata kwa mwanamke ambaye hakuwahi kutunga ndoa na ndo ndoa yake ya kwanza (kuhusu ma ex aliolala nao sijui kuzakishwa hayo mtajuana ninyi kwa maana hadi mnaoana mmefuata misingi yote ikiwemo namba moja kabisa kwamba mmekubakiana kwa ridhaa yenu wenyewe).

Na kwa yule aliyewahi kuolewa sasa either akaachika au mumewe akafariki basi atamtambulisha walii wake kuwa anafunga ndoa na ameridhia lakini walii hatousika kwenye maamuzi mengi kama ilivyo kwa binti bikra(asiye na uzoefu) .

Na
Allah anajua zaidi.
 
Mkuu mi nimeoa mwanamke bikra, nilimuoa akiwa na miaka 28 na alikuwa bikra. Ila hakuna ninachofaidi zaidi ya maudhi tu. Tumeshindwa kuelewana kabisa. So mi nasikiaga tu mkisema hivyo but sijawah kuona Hilo swala.
 
Bro umri sio ishu sana. Inategemea na malezi aliyolelewa. Wengine kwenye umri huo WA 18 anajielewa sana na yupo tayari kuwa mama na mjenzi WA nyumba yake. Wapo wengine mpaka miaka 26+ bado ni chenga tu, ukisema A ni mgumu/mbinde kuelewa kinachofuata ni B.
 
Bikra haihusiani na upendo.. Nimekuelewa sana mkuu.
 
Mkuu mi nimeoa mwanamke bikra, nilimuoa akiwa na miaka 28 na alikuwa bikra. Ila hakuna ninachofaidi zaidi ya maudhi tu. Tumeshindwa kuelewana kabisa. So mi nasikiaga tu mkisema hivyo but sijawah kuona Hilo swala.

Gendaeka hiyo
 
Miaka kadhaa iliyopita kuna demu niliwahi kutembea nae, baadae tulikuja kupotezana kama miaka miwili, kumbe ndani ya hiyo miaka miwili demu aliolewa.
Siku zote hizo namba yangu alikua bado anayo kichwani kwake, siku moja alinipigia simu ndo akanieleza kuwa ameolewa na ana mtoto mmoja. Nilimpa hongera tukapiga story mbili tatu tukaagana, basi ikawa kila mara ananipigia simu ananisalimia na kuna wakati ananipiga vizinga nami bila hiyana namtumia fresh tu.
Sasa kuna siku aliniomba pesa nikagoma kumpa, nikamwambia muombe mumeo, haiwezekani raha umpe yeye halafu pesa nikupe mimi. Dah yale maneno yalimuingia sana, bila ajizi demu akanijibu hata wewe ukitaka nitakupa wewe sema tu lini unataka nikuletee. Nilichoka sana, nikasema kama ndoa zenyewe ndo hizi ni bora vijana tusioe, yule demu mpaka leo namkwepa. Sitaki kabisa mchezo wa kula wake za watu


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kuweka Nadhiri hiyo. Haifai kula mke wa mtu ni mkosi sana
 
Huu uzi una ukweli kabsa..ila sasa kuuishi ni kazi saanaa mana tuliowengi tushajipiga kitanzi kwa wanawake ambao hatukuwatoa usichana wao...daaah..!! Nasema hivi tunaishi na wake za watu..na wake zetu wanaishi na wake zetu...ts a crazy world..sjui tufanyajee
 
Ukabaki na Wenger tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole kwa wasiwasi, lakini huenda huyo huyo tangu uwe naye hajawahi kukucheat hata maramoja anajiheshimu! Lakini Kwanini ujute lakini ulilazimishwa? Shukuru kwa yote.
 
heshima kwenu Wakuu!

Kuna nyuzi Fulani nimezisoma humu za watu kuwakumbuka wapenzi wao WA zamani. Nikashangazwa na waliochukizwa na watoa nyuzi hizo;

Nyuzi zenyewe!







Ati Wanachukia Watu kuwakumbuka Ma-ex wao nyie malofa kweli. Nani alikuambia uoe Mtu asiye na bikra, mtu kumkumbuka Mpenzi wake ambaye unamuita Mkeo wako sio kosa.

Hujui walifanya mangapi, wewe Kama ulitaka asikumbukwe ungeoa aliyebikra na sio kuleta wivu wa kisengerema, ilhali unajua kabisa ulikuta mtu anawapenzi wake wengi tuu..

Oeni Bikra hamtaki, wakija kukumbukana unanuna, unanuna nini kama sio ushamba!
Oeni wanawake wasio na watoto hamtaki, wakija kuonana na wazazi wenza mnapiga kelele, kuna watu wajinga Sana.

Ushambiwa Mtalaka hatongozwi bado unakaza Fuvu!

Bikra matter's
 
Nyuzi zenyewe!




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…