Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hujamuuliza bado mkuu...mbona unamjibia[emoji12]
Siwezi kumjibia,mama yangu kuna wakati alikuwa akituasa sana kuhusu mambo ya ngono na alikuwa hasiti kutueleza akiwa ametuita watoto wake wote si wa kike wala kiume!,tena alisisitiza sana kuhusu kumjua mume au mke kabla ya ndoa!.
 
Acha makasiriko,ni aibu kuolewa ukiwa ushatumika,najua lazima uone makasiriko kwasababu ushakuwa chakula ya dunia kabla ya ndoa?
Sijakasirika hata kidogo mkuu,ninachoshangaa ni kuulizia kitu kilichokuleta duniani eti kwann....kumwagiwa kwake ndo kuja kwako.Usijifanye mtakatifu sana ukajiua Kwa pressure za papuchi
 
Siwezi kumjibia,mama yangu kuna wakati alikuwa akituasa sana kuhusu mambo ya ngono na alikuwa hasiti kutueleza akiwa ametuita watoto wake wote si wa kike wala kiume!,tena alisisitiza sana kuhusu kumjua mume au mke kabla ya ndoa!.
Bas tulia na msimamo wenu tuache wengine tufanye yetu....kama unavyoshindwa kutimiza kingine ndivyo tumeshindwa timiza icho.Mfano,huenda umeliwa nyuma wenzio tumeliwa mbele🤜
 
Sijakasirika hata kidogo mkuu,ninachoshangaa ni kuulizia kitu kilichokuleta duniani eti kwann....kumwagiwa kwake ndo kuja kwako.Usijifanye mtakatifu sana ukajiua Kwa pressure za papuchi
Mkuu swali langu ni kwamba,kwanini wanawake hawaoni tena sababu ya kuwa bikira mpaka waolewe?,Je kwako ni halali kutumika kisha ukaenda kumpelekea mwanaume kitu kishatumika?
 
Bas tulia na msimamo wenu tuache wengine tufanye yetu....kama unavyoshindwa kutimiza kingine ndivyo tumeshindwa timiza icho.Mfano,huenda umeliwa nyuma wenzio tumeliwa mbele[emoji2936]
Mkuu kwahiyo umeamini wanawake bikira ni bora kuliko mliokwisha tumika?
 
Mkuu swali langu ni kwamba,kwanini wanawake hawaoni tena sababu ya kuwa bikira mpaka waolewe?,Je kwako ni halali kutumika kisha ukaenda kumpelekea mwanaume kitu kishatumika?
Kwan unapoanza unalalwa na kibwengo au mwanaume.....na ukiolewa unabaki nayo au inatolewa? Kuliwa ni kulekule ....hakuna mtu anaempa penz mwanaume akijua huyu ni mpitaji....
 
Attention Wanawake wetu wa JF!!.

Najua tunakulana huko nje ,Ndani n.k!!.

Ila chondechonde, msiwaponde Wanawake wenzenu ambao bado Wana usichana wao !!.

Kuna wakati tunabidi tuwe watu wa KUPONGEZA .

Ila Kuolewa, Suala la Bikra au Kutokuja Bikra halikupi guarantee wewe Mwanaume ya kutochapiwa
 
Back
Top Bottom