Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mwanamke Bikra hadi kwenye ndoa ana heshima yake, ingawa haiondoi heshima kwa ambae utakuta tayari kazaa au tayari kapigwa sana miti. Kuna kitu flani hivi kwa Bikra hata muoaji unajisikia..
 
Subiria wala makombo waje wakushukie huko, japo hiki kitu ni ukweli kabisa mkuu pia kuoa bikra unapata baraka kutoka kwa mungu, pia uhaminifu unakuwa mkubwa ata kwenye ndoa🙏🙏🙏
Bikra iheshimiwe, Bikra ni heshima. Mwanamke anaweza jitunza na kujisitiri hadi ndoa ana hadhi yake flani, tofauti na waliopigwa miti japo nao wana heshima yao
 
Na ukioa ukiwa umeshafumua bikira za watoto wa wezako tuitaje vile! Kwako mtoa maada
Mpakeni huyo hanisi humu wanaume hamna haya walahi wote tu yaani mnaona humu malaya niwanawake tu je nyie mnaoshauri watu wasex na nyie halafu baadaye unampa mimba halafu unamwambia toa hiyo mimba tuwaeleweje??
 
Mpakeni huyo hanisi humu wanaume hamna haya walahi wote tu yaani mnaona humu malaya niwanawake tu je nyie mnaoshauri watu wasex na nyie halafu baadaye unampa mimba halafu unamwambia toa hiyo mimba tuwaeleweje??
😒😒😒 Balance lazima iwepo, kutoka kwa bikra za wadada ni mapenzi yao ya kwanza kwa walio waamini na kuaminiana upepo ukapita wakaachana ( asilimia kubwa wanawake wengi walitegemea wawe na walio watoa bikra) ila ndio ivyo. Na ambao wamepata bahati neema ya kujitunza hadi wanaolewa nao ni Mungu tu, kawasaidia. Mwisho wa siku wote mnathamani sawa alie na bikra na sie na bikra, sema mwenye bikra kuna bonus anapata katika jicho la jamii ila halifanyi wasio bikra kuwa down, wapo ambao sio bikra wamekuwa bora kuliko walio olewa bikra na kuna walio olewa bikra badae wakawa vimeo. Maisha ni nidhamu tu
 
Utakula matusi toka kwa members wa breki pumbuz mpaka ushangae🤣🤣🤣🤣
 
Dah kumbe tunawaumiza sana wanawake. Mtusamehe tutajirekebisha.
Saivi tutaanza kuwatukania waliowaleta duniani maana nao pako wazi.Too much sasa...kujipa utakatifu kama mmejiumba Kumbe mmezaliwa na wanawake haohao....mbona baba zenu humu wanabusara na wanaheshimu wanawake coz bila wao msingetokea.....yaan Kuna muda mnaongelea vibaya wanawake Mpaka najiuliza Hawa watu veep,au mama zao walijaribu kutoa Kwa vyuma vikagoma ndo zikazaliwa nyumbu hizi zilizojaa utaahira.Kama wewe ni mtakatifu tuliza kinyeo siyo unawashwa Kila Siku kuhusu wanawake as if tuna vikunio afu tumekataa kuwapiga miti.Hapana,hapana jaman..khakhaa
 
Utakula matusi toka kwa members wa breki pumbuz mpaka ushangae🤣🤣🤣🤣
Kikubwa mnakojoa.....ndo maana mmekosa nguvu za kiume na mmeamua kuwa wanawake mnaishia kuliwa na wanaume marijali...mna laana ya mdomo....kilasiku kuwasema mama zenu utafikiri hawajawazaa.kuweni na utu
 
😲😲😲😲 makubwa!
Aisee kumbe i awau.a hivyo ila sie mbona mnatuita wanaume suruali au vibamia

Relax teacher hii ni cyber space once in here u have to accept kuwa there will be different view points. Dnt be irked that much, these are mere rumblings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…