Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Samaleko

Dogo aliniletea dhalau. Nilimuambia awe kama mimi kakaake. Oa Mwanamke mwenye Bikra akaniona mshamba na maneno kibao ya kejeli na dharau kama wengine humu jf. Juzi kamfumania mkewe akiwa anazagamuliwa na mjini wake wa zamani.

Dogo ati anataka kujiua yaani kama mpuuzi hivi. Kuchapiwa umechapiwa ukijiua unapata nini zaidi ya hasara.
Jana alilala kwangu usiku mzima ni kunywa mipombe huku akinipigia makelele ya kuniomba msamaha.
Nikamwambia amalize hasira zake arudi kwake wakamalizane na mkewe.

Sisi tuliooa wanawake wakiwa na Bikra ndoa zetu zinafuraha. Namba moja ni namba moja tuu.

Vijana Oeni Bikra.
Vinginevyo, kataa Ndoa.
Kataa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Bikra Matter
 
Joka jeusi chagua mwenyewe sanamu yako tukujengee wapi?

Dogo kauziwa mbuzi kwenye gunia alafu anataka kujinyonga. Nikikumbuka maneno ya wakati ule aliyonitolea na sasa anavyotoa makamasi nabaki kusikitika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…