Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Umesema ukweli ila utapingwa sana. Unaoa mdada amelalwa na wanaume 5+ ni umeoa mali ya watu wengi.

God was so smart to put a hymen.
 
Huo ni mtazamo potofu
Kuna walioolewa bila bikra na wametulia kwenye ndoa zao,kuna wanaoolewa na waliotolewa bikra ila huko mbele akichepuka kidogo umeisha bro mana atajua kumbe siku zote alikua anakosa uhondo inshort anajiona mshamba!
We omba Mungu akupe mke,nyingine mbwembwe tu!
 
Sawa mkuu tutafanyaje na umeshaamua kutuchuza
mara ya mwisho ni Dec 2020
ikaja nikaloweka tena majuzi hapa tar 05/08

karibia miaka mitatu hapo, kama arithmetic progression itakaa vyema, kuja kuunga vikojoleo tena ni mpaka 04/03/2026 panapo uhai
 
TAFUTENI HELA NUKTA.
Wenye hela hawana muda na bikra, masikini mna mbwembwe sana au sio baby Glenn
 
Back
Top Bottom