kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tupe ushauri sisi tulioa wake za watu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,labda inategemea.Sasa uongo watoka wapi wakati mi nina uhakika?
Tena siku hizi akimaliza la 7 awe nayo ni ndoto, haswa hawa wa uswazi.Sawa,labda inategemea.
Labda inategemea na malezi.Tena siku hizi akimaliza la 7 awe nayo ni ndoto, haswa hawa wa uswazi.
Japo kuna mabinti hadi wanamaliza chuo bado wanazo
Muulize mtoa mada kwani sio mimi niliyeandika huo upupu.Ubikra na Uthamani wa ndoa how how?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣dahWachezaji wao watatu wametokomea kijiji cha Ndewelwa kwenda kutafuta wanawake mabikra.🤔
Mwanamke anakubali vipi kumvulia chupi mwanaume ambaye si mume wake wa ndoa?Kwanini nanyi wanaume mnawaharibu hao wanawake ambao hamuwaoi?
Wewe umeitunza bikra yako hadi ulipoolewa?
Naona unawatetea wanawake wenzioWewe umeitunza bikra yako hadi ulipoolewa?
Ikikuuma chomoaNaona unawatetea wanawake wenzio
Bikra dunia ya leo[emoji848]Muulize mtoa mada kwani sio mimi niliyeandika huo upupu.
Sema me ndio tunazitoa au sababu we huhusiki uko busy na pultablehazitoki wenyewe, ME ndiyo wanazitoa
mie team nyeto mzeeSema me ndio tunazitoa au sababu we huhusiki uko busy na pultable
Sawa mkuu tutafanyaje na umeshaamua kutuchuzamie team nyeto mzee
kuloweka kwa tochi sana
mara ya mwisho ni Dec 2020Sawa mkuu tutafanyaje na umeshaamua kutuchuza
Kinaharibiwa ambacho kinakuwa tayari kuhalibiwa nadhan tumeelewanaKwanini nanyi wanaume mnawaharibu hao wanawake ambao hamuwaoi?