Inaweza kuwahao bado hawajajua maana ya ndoa,,,mimi chuoni nimeishi na mwanamke miaka mitatu yote ila bado nasema sijawa na ezperience ya kutosha ilhali naelewa kwamba ndoa ni jambo tofauti haswa
Leta code nikakifunge dls tu wachana na ndoa adriz Mufti kuku The InfinityInakuwaje wanaJamiiForums
Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako
wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko
Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani
Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako
Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kuleView attachment 2786241
Tuishi nao kwa akili, kumridhisha mwanadamu yena wa jinsia ya kike ni ngumu mno.NAKAZIA
kupata katiba mpya ni kazi ngumu sana kwa nyuzi kama hizi..
Inaweza kuwa
Ngoja tuone
hahahah umemdirect au sioJukwaa la Siasa
Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!www.jamiiforums.com
Kuishi nao kwa akili ndio mpango mzimaTuishi nao kwa akili, kumridhisha mwanadamu yena wa jinsia ya kike ni ngumu mno.
kwasababu kufanya kazi ni muhimu kwahyo muda wote uwe unapiga kazi tukupata katiba mpya ni kazi ngumu sana kwa nyuzi kama hizi..
Mapema tu aende huko akutane na wenzake wanaotaka katiba mpya. Humu kapotea njia 🤣hahahah umemdirect au sio
vijana wana ujuaji sanaMapema tu aende huko akutane na wenzake wanaotaka katiba mpya. Humu kapotea njia 🤣
Hahaa nimeipenda hiivijana wana ujuaji sana
anataka kumfundisha siasa JK?
unampokea kama anavyokuja 😀Hahaa nimeipenda hii
Nakazia na ibaki kuwa hivyoKuishi nao kwa akili ndio mpango mzima
Muhimu wasitusaliti tuWanakuwaga wasumbufu sana
KabisaMuhimu wasitusaliti tu
Ngoja tuoneAisee utaugua pressure
Uishi kwa kujiongopea[emoji2955][emoji2955]ukitaka umpate ambaye sio msaliti usishike simu yake😀
We endelea kushusha nyuzi itapatikana tu katiba mpyakupata katiba mpya ni kazi ngumu sana kwa nyuzi kama hizi..