Inakuwaje wanaJamiiForums
Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako
wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko
Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani
Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako
Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kule
View attachment 2786241