Ulianza vzuri ila mwishoni ndio umeharibu hata maana ya bikira naona na ww inakuchanganyaDah yaani hata sijui ni kwa nini vijana wa kitanzania wako so obsessed na bikira. Sijui wakikaa mitaani au na marafiki zao sijui wanaijadili vipi hii bikira. Imefika point naona wanadhani kila mwanake ambae ameshapoteza bikira yake basi ni malaya, haaminiki na daima ata cheat tu. Hivi mlitegemea mwanamke asex vipi bila kupoteza bikira? Hivi unajua kuwa bikira ya mwanamke inaweza pia toka bila ya kusex kutegemea na activities za maisha ya mhusika?
Unauliza maswali ya kitoto[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanini Mkuu?
Wanakuwaga wasumbufu sana
Kuwa mtoto uje elimika.Ulianza vzuri ila mwishoni ndio umeharibu hata maana ya bikira naona na ww inakuchanganya
HApo mwishoni umeongelea kizinda
Tatzo letu wengi tunaleta ujuaji kwenye mambo ambayo hatuna uzoefu nayo....ninachokuambia nakielewaKuwa mtoto uje elimika.
🤣🤣Vp my wangu
Hapa ndio umeharibu ...Hivi unajua kuwa bikira ya mwanamke inaweza pia toka bila ya kusex kutegemea na activities za maisha ya mhusika?
Anakufanyaje wifi yangu?🤣🤣Vp my wangu
Search kwenye google utaona kuna sababu gani nyingi ambazo hyemn ya mwanamke inaweza kuvunjika, halafu rudi hapa ujitetee.Ulianza vzuri ila mwishoni ndio umeharibu hata maana ya bikira naona na ww inakuchanganya
HApo mwishoni umeongelea kizinda
Ndiyo ukweliHapa ndio umeharibu ...
Some people mistakenly think that a broken or absent hymen can only result from penetrative sex. This is not correct.Hapa ndio umeharibu ...
Kaniacha ana wiki ya pili sasa hadi kisigino kinauma 🤣😁Anakufanyaje wifi yangu?
Yaan ukute hana bikra halafu usichapiwe kweli?Inakuwaje wanaJamiiForums
Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako
wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko
Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani
Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako
Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kuleView attachment 2786241
tafuta medical article yeyote ile juu ya hymen na vipi inaweza kuwa broken na utajifunza mengiTatzo letu wengi tunaleta ujuaji kwenye mambo ambayo hatuna uzoefu nayo....ninachokuambia nakielewa
Karibu ujifunze zaidi
😂😂😂nenda hospital bhana....usizingue😀Kaniacha ana wiki ya pili sasa hadi kisigino kinauma 🤣😁
Nimeenda kwenye zahanati ya kijiji wamenipiga sindano kwenye mguu inauma sana 😭😂😂😂nenda hospital bhana....usizingue😀
Hiyo habari nyingine ni kuhusu Hamas inavyopokea mkong'oto wa haja?Unawarithisha watu siasa chafu hapa jukwaani katika jambo ambalo haina ushahidi wala haliingii akilini hata kidogo.Kuhusu hilo nishamaliza ngoja nifocous na habari nyingine Jf ..
Hymen ni bikra?Search kwenye google utaona kuna sababu gani nyingi ambazo hyemn ya mwanamke inaweza kuvunjika, halafu rudi hapa ujitetee.