Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Dah yaani hata sijui ni kwa nini vijana wa kitanzania wako so obsessed na bikira. Sijui wakikaa mitaani au na marafiki zao sijui wanaijadili vipi hii bikira. Imefika point naona wanadhani kila mwanake ambae ameshapoteza bikira yake basi ni malaya, haaminiki na daima ata cheat tu. Hivi mlitegemea mwanamke asex vipi bila kupoteza bikira? Hivi unajua kuwa bikira ya mwanamke inaweza pia toka bila ya kusex kutegemea na activities za maisha ya mhusika?
 
Ulianza vzuri ila mwishoni ndio umeharibu hata maana ya bikira naona na ww inakuchanganya
HApo mwishoni umeongelea kizinda
 
Hapa ndio umeharibu ...
Some people mistakenly think that a broken or absent hymen can only result from penetrative sex. This is not correct.

The hymen can break, tear, or stretch during many activities. Some examples include:

  • horseback riding
  • gymnastics
  • cycling
  • using tampons or menstrual cups
  • a gynecologist conducting a pelvic exam
 
Inakuwaje wanaJamiiForums

Kuoa mwanamke asie na bikra ni kama vile mkeka wako kumuamini Man u aue ili ukatoe milioni zako

wanaJamiiForums toeni ushuhuda wenu, vp mkeka wako ulitiki au mapema tu Man u aliuchanilia mbali huko

Rumors ni nying kwelikweli mara bikra ndo uhakika, mara ooh oa rafiki yako
Basi tafalani

Je kwa wew uliecheza kamari ya kuoa asie na bikra vp ulitoboa? toa experience yako

Nb/Hii ni nyuzi ya wanaume tuliokubal changamoto za maisha, Wale tuliowakosa (kwa masikitiko) kataa ndoa wote piteni kuleView attachment 2786241
Yaan ukute hana bikra halafu usichapiwe kweli?

umechapiwa kabla hujaoa na utachapiwa ukiwa umeoa vilevile hiyo ni given.......
 
Unawarithisha watu siasa chafu hapa jukwaani katika jambo ambalo haina ushahidi wala haliingii akilini hata kidogo.Kuhusu hilo nishamaliza ngoja nifocous na habari nyingine Jf ..
Hiyo habari nyingine ni kuhusu Hamas inavyopokea mkong'oto wa haja?
 
Search kwenye google utaona kuna sababu gani nyingi ambazo hyemn ya mwanamke inaweza kuvunjika, halafu rudi hapa ujitetee.
Hymen ni bikra?
Hamna haja ya kugoogle nimekuambia nipo kwenye idara inayohusisha mambo ya uzazi
Hymen au kizinda huu ni utqndo unaokua kwenye uke wa msichana anapozaliwa ..huwa unatoka pale anapoanza kukua au pia anapopata damu ya hedhi ila wengi wao huwa unatoka mapema tu kwasababu mbalimbali kama kuendesha baiskeli,kufanya kazi ngumu au kupanda milima
 
Back
Top Bottom