Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Zamani walikuwa wanalia ila sio sasa ambapo hadi wanakatika viuno mbele ya kadamnasi.

Utandawazi umeharibu mambo
 
1. Hakikisha na wewe ni bikra(hauwi chanzo cha kuharibu usichana au nafsi za wanawake/wasichana). Epuka hatia hii kwa gharama yoyote!

2. Usikatishwe tamaa kwamba wanawake bikra hawapo hasa katika kizazi hiki(Wapo ila kuwatafuta kwa akili zako utakesha,cha kufanya kama wewe ni mcha Mungu(usichanganye na mcha dini nazungumzia mcha Mungu na unahitaji mwanamke bikra ambaye nafsi yake haijaharibika) teta na Mungu akushushie mmojawapo maana wanawake hawa Mungu amewaclassify kwamba ni highly self-aware ladies,they are very rare and innocent deserving to be married by only God fearing&visionary men)

3. Mungu akikushushia Mwanamke bikra wa mwili au nafsi mtunze kwa nguvu zako zote(Muoneshe Mungu kwamba unaheshimu zawadi hiyo adimu aliyokukirimia)

4. Usije kujichanganya ukamcheat. Hataona tena Thamani ya yeye kujitunza na kuwa msafi kwa ajili yako halafu wewe unaenda kugaagaga kwenye matope huko nje kisha uje umchafue. Kwa kifupi siku utakayomcheat ndivyo siku utakayokuwa umeongeza idadi ya wake za watu 'Malaya'. Atakuwa na uchungu na kisha ataanza kutafuta namna ya kulipa kisasi kwa kumkubalia kila Mwanaume anayemtongoza na hata kujitongozesha inapobidi. Nakuhakikishia,ukimcheat tu,hesabu huyo sio Mke wako tena bali atakuwa Mke wa Jumuiya!

NB: Acha kuota ndoto za alinacha, kutaka kitu ambacho hustahili(hujajiweka mkao wa kukipata). Mwanamke bikra plus mcha Mungu analetwa na Mungu mwenyewe. Na ndio tafsiri hasa ya lile andiko kwamba
"Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"( MITHALI 19:14). Mpe Mungu sababu ya kukupa Mke wa aina hii.

Nasisitiza usitumie trial and error kutafuta Mke bikra(Mwenye busara) utakesha my friend. INUA MACHO JUU. Teta na mwenye hatimiliki ya Wanawake wa aina hii(kama unaqualify hasa Kwa kigezo namba moja hapo juu) ili uufurahie uanaume wako ipasavyo!
 
Kanuni ya kuchoka/kukinai kitu haikwepeki, ata hivyo furaha hutafutwa kwa udi na uvumba ilihali huisha kwa muda mfupi tu [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza Kila kitu atakayepinga hapa
Akili zake hazipo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu natumaini mmeamka salama na kwawale wenyechangamoto za kiafya basi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi sawasawa na imani zao. Amen

Zoezi la kutongoza mwanamke ni zoezi ambalo linajumuisha wale wanawake walio mabikra tuu na ambao hawajawahi kuwa na mpenzi kwa namna moja ama nyingine na zoezi hili mara nyingi ni gumu sana na rahisi sana wakati mwingine kama mwanaume utakua mjanja wa kumsoma binti umpendaye upesi na kujua anachokitaka na hili hutegemeana na aina ya mwanamke unayekutana nae.

Sasa kutongoza mwanamke asiye bikra na ambaye alisha wahi kuwa na mahusiano mengine au yupo kweye mahusiano hakuna tofauti na kujipotezea muda wako kwa makusudi. Mara zote wanawake wasio mabikra /waliokwisha kuwa na mahusiano hawa hawatongozwi maana walishakwisha kutongozwa hivyo hauna kitu utamuambia zaidi atakua anakuchora na kukuona mjinga huku amekuweka kama spare tyre tuu au kipoozeo cha kumpafaraja pale atakapozinguliwa na mpenzi wake.

Wanawake wasio mabikra kama una mpenda na umeridhia kuoa used kwa moyo wako mmoja pasi na kushurutishwa au kusemwa na ndugu kwamba uoe sasa muda umeenda ila ni kwaakili zako umeamua kua nae wewe tengeneza mazingira mzoe na akuzoe alafu ujiongeze mwenyewe kumuweka ndani kama unaona anakufaa kwa matumizi ya kua mke na kua mama wa wanao.

Kutongoza mwanamke asiye bikra ni risk sana maana utawekwa kama spare tyre na hakika hutakaa ujue ni lini atakupa jibu lako la kuingia nae kwenye mahusiano. Ndugu zangu jiongezeni hawa wana machungu mioyoni mwao chezeni kwa akili na siyo kuwatongoza.
 
We upate bikra kwa umri huu,wenye uwezo huo pekee ni mitume na manabii wa uongo pekee na hawa huwa connected
 
Sasa izo bikra si mtafungwa bure? Mana wengi zinatoka msingi na O-level.
 
Ishu ni mwanamke akikupenda mwenyewe lazima umle HAIJALISHI itapita muda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…