Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mughonile.

Niliapa sitaharibu ambacho hakijaharibika au kuharibiwa. Sitaondoa Bikra kama sitamuoa huyo Mwanamke. Kama una bikra basi nisingekuchezea lakini kama umejiharibu au kuharibiwa nilijipa uhalali wa kuendelea kufanya uharibifu.

Niliapa sitokuja kuoa Mwanamke asiye na Bikra hata nichomwe moto. Hata angesema nani. Labda ulikuwa ni utoto. Lakini kwa sasa nimekua na nipo ndoani kwa miaka kumi sasa tangu nilipooa 2013. Miaka kumi ya ndoa imekuwa ya furaha kwangu. Ndoa ya Mwanamke wa ndoto yangu, Bikra safi.

Najivunia kuwa miongoni mwao wanaume bora wenye bahati kwa kuoa na kuanzisha familia Safi. Najivunia watoto wangu kuwa na mama ambaye ni msafi ambaye usafi wake niliuthibitisha mimi mwenyewe siku nilipokata utepe.

Msimamo wangu wa kizamani unaninufaisha, umeniletea familia yenye furaha yenye uaminifu. Mama mwaminifu, msafi, mama mzuri, Watoto waliotoka katika mama mwenye kujitunza na kujizuia.

Kama hujaoa na unataka familia yenye furaha. Basi OA Mwanamke mwenye Bikra. Usiharibu ambavyo havijaharibika wala kuharibiwa. Utaishi maisha matamu Sana.
Bikra Matters
Usioe asiye na Bikra
Kalaghabaho
Kalaga bank🤣🤣🤣🤣🪑
 
Kaka mkubwa hii umeongea ni Point kabisa, na kuna vitu vingine pia nimejifunza kupitia hii Comment. Kwa upande wangu nilikua naamini kitu hiki hiki na hapa umeniongezea CONFIDENCE ×100. Katika principle za ndoa mwanaume anatakiwa apate mwanamke ambaye ni Bikra hii ikimaanisha kwamba yani kama bidhaa mpya anaitoa kwenye kasha mwenyewe. Na mimi kwa upande wangu siwezi anzisha mahusiano ya uchumba na dem asiye na hicho kigezo, maana inaonesha hakuna uaminifu wala usafi kwake.

Alafu pia na hii nadharia ya kusema mabikra Tanzania hawapo ni uongo, mabikra wapo wengi tu.
Ahsante sana kaka
 
Wapo wengi mnooooo, kaka wapo na tuweke msimamo humo hasa sisi mabachelor.

Wakubali wakatae huo ndio uhalisia na ukweli.
 
Doh nimecheka mpaka nimeona nishee

Haya Mchungaji hapa ametupa kabisa maana ya mwanamke bikra na akiolewa akikutana na mwanaume anavyokuwa

Eti analia 😂😂😂😂

Akiona msitu kifuani, analia😂😂😂

Back
Top Bottom