Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Wewe ni pumbavu wa mwishoAu unataka ninyonye damu yako chafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni pumbavu wa mwishoAu unataka ninyonye damu yako chafu
Hayana mwongozoMughonile.
Niliapa sitaharibu ambacho hakijaharibika au kuharibiwa. Sitaondoa Bikra kama sitamuoa huyo Mwanamke. Kama una bikra basi nisingekuchezea lakini kama umejiharibu au kuharibiwa nilijipa uhalali wa kuendelea kufanya uharibifu.
Niliapa sitokuja kuoa Mwanamke asiye na Bikra hata nichomwe moto. Hata angesema nani. Labda ulikuwa ni utoto. Lakini kwa sasa nimekua na nipo ndoani kwa miaka kumi sasa tangu nilipooa 2013. Miaka kumi ya ndoa imekuwa ya furaha kwangu. Ndoa ya Mwanamke wa ndoto yangu, Bikra safi.
Najivunia kuwa miongoni mwao wanaume bora wenye bahati kwa kuoa na kuanzisha familia Safi. Najivunia watoto wangu kuwa na mama ambaye ni msafi ambaye usafi wake niliuthibitisha mimi mwenyewe siku nilipokata utepe.
Msimamo wangu wa kizamani unaninufaisha, umeniletea familia yenye furaha yenye uaminifu. Mama mwaminifu, msafi, mama mzuri, Watoto waliotoka katika mama mwenye kujitunza na kujizuia.
Kama hujaoa na unataka familia yenye furaha. Basi OA Mwanamke mwenye Bikra. Usiharibu ambavyo havijaharibika wala kuharibiwa. Utaishi maisha matamu Sana.
Bikra Matters
Usioe asiye na Bikra
Kalaghabaho
Kabisa bikra.Mughonile.

Ila ulipomaliza kubikiri, wasela tunamega tu.Mughonile.

Chekechea labdaHuyu mpenzi niliyenae ni wa 561 lakini sijawahi kukutana na bikra,nyie mnawatoa wp mkuu?
Kaka mkubwa hii umeongea ni Point kabisa, na kuna vitu vingine pia nimejifunza kupitia hii Comment. Kwa upande wangu nilikua naamini kitu hiki hiki na hapa umeniongezea CONFIDENCE ×100. Katika principle za ndoa mwanaume anatakiwa apate mwanamke ambaye ni Bikra hii ikimaanisha kwamba yani kama bidhaa mpya anaitoa kwenye kasha mwenyewe. Na mimi kwa upande wangu siwezi anzisha mahusiano ya uchumba na dem asiye na hicho kigezo, maana inaonesha hakuna uaminifu wala usafi kwake.Nakuunga mkono asilimia mia. Ipo hivi! Tukubali tukatae bikra iliwekwa na muumbaji kwa makusudi maalum hapo hupimwa uaminifu na usafi na hata vizaliwavyo kutoka kwa mwanamke bikra huwa vimetakasika mfano( yesu kristo) unadhani ni kwanini yesu kristo alizaliwa na bikira Maria?
Najua kipindi cha sasa maadili yameporomoka sana kiasi kwamba ngono na uzinzi ni kama salam ya asubuhi , yaan ni kawaida sana na ndio maana tuna mpinga kwa JOKAJEUSI
kukataa huu ukweli ni kuhalalisha mmomonyoko wa maadili, it is true kama utaoa bikra ndoa yako itakuwa na amani hata kukaa na mwanamke wa namna hiyo ni amani sana, najua wapo wasemao kuwa oooh! Mbona hata mwanaume hufanya before marriage[emoji854][emoji6] my friend hakuna VIRGIN BOY OR MEN, hakuna mwanaume mwali[emoji23],
Tukiacha ushabiki wa utandawazi tukarudi katika asili yaani nature ni maagizo ya kimungu mwanamke kujitunza, mwanamke hupokea na mwanaume hutoa katika roho na imani hivyo, destiny yenu hubebwa na mwanamke huyo uliyenaye.
Let's not fight back the nature, BIKRA MATTERS wakuu.
Amecheza fea sana.Nimependa hapo uliposema hutaharibu ambacho hakija haribika. Hongera sana!
Huna akiliNdio maana unataka nikutindue?
Kweli.Amecheza fea sana.
Akimaanisha waliojiharibu waendelezane😂😂Kweli.
Ameeleweka vyema😅😅Akimaanisha waliojiharibu waendelezane😂😂
Basi twezetu😂Ameeleweka vyema😅😅