Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nimehuhudia na nimefanya utafiti wa kutosha sana yaani ni rahisi sana kumpata bikra mikoa ya pwani na kuna idadi kubwa ya mabikra mikoa ya pwani tena sana ila kupata bikra mikoa ya kanda ya ziwa ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano

Kwa kazi yangu ya utafiti na hili shirika letu watu wa kanda ya ziwa wanaanza kuchezea wakiwa watoto wadogo maana kuna case nyingi za wanafunzi wa kanda ya ziwa kupata mimba za utotoni yaani mtu yupo under 18 tayari msichana ana watoto zaidi ya mmoja!
 
HAMNA CHA BIKRA SIKU HIZI WE CHAPA ILALE TU AU NDIO KUTAFUTA BIKRA KAMA MSHKAJI MMOJA TABORA KAOA BINTI ANA MIAKA 13 YEYE ANA MIAKA 19 WAKAKAMATWA YEYE WAZAZI WA BINTI NA WAZAZI WAKE NILICHEKA WAKATI JAMAA YUKO KWENYE PIRA DAH ,ILIKUWA UTV YA AZAM SA MBILI JUZI KATI HAPO WE CHAPA ILALE UKIKUTANA NA BIKRA SHUKURU MUNGU HALAFU MAISHA TUNAYOISHI SISI WATU WA ZAMANI WLAISHAYAISHI ESPECIALLY KIBINIADAMU KINACHOBADILIKA DUNIA YA LEO NI SCIENCE AND TECHNOLOGY TU
 
Habari

Siku za hivi karibuni nimekua nikikutana na wanawake wengi sana wazuri na wenye age ya 20- 25
Lakini ni kama upepo wa kukutana na wanawake bikra umenipitia.

Hadi imeakua sio Raha tena.

Nilipo share na washkaj hii scenario baadhi wali Kuna na conspiracy za masuala ya KIROHO nk,

Kwa wale wajuvi wa mambo, kuna faida yoyote KIROHO au kwa namna yoyote Ile mwanaume anapata anapo toa bikra ya mwanamke?
 
Unatafuta mwanamke bikira wakati wewe mwenyewe utulivu ni sifuri na pia ni fisi maji!? Hao ambao tayari umekwisha kuwatumia ndio stahiki na saizi yako. Miongoni mwao chagua mmoja kisha umuoe.

Ingawaje tafsiri ya ubikira imebadilika kutokana na mazingira na vigezo vya sasa, kama vile ifuatavyo,
a. Yule ambaye hajawahi kabisa kutumika yaani kuwahi kushiriki tendo la ndoa na mwanaume yeyote yule maishani mwake.
b. Yule ambaye kamwe hajawahi kuchoropoa mimba maishani mwake
c. Yule ambaye hajawahi kufumuliwa malinda maishani mwake.

Sasa wewe sijui kwa tafsiri yako umejikita katika kundi lipi. Jambo moja ambalo nataka nikuambie wazi, bikira kwa tafsiri ya kundi "a" kwa mwanamke aliye na umri kati ya miaka 20 - 29 ni ngumu sana kumpata.
 
hii kujifanyafanya unatafuta bikra utajikuta unatoka na vi under age
jishikilie braza jela inakuita, ohoo
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…