Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Nimehuhudia na nimefanya utafiti wa kutosha sana yaani ni rahisi sana kumpata bikra mikoa ya pwani na kuna idadi kubwa ya mabikra mikoa ya pwani tena sana ila kupata bikra mikoa ya kanda ya ziwa ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Kwa kazi yangu ya utafiti na hili shirika letu watu wa kanda ya ziwa wanaanza kuchezea wakiwa watoto wadogo maana kuna case nyingi za wanafunzi wa kanda ya ziwa kupata mimba za utotoni yaani mtu yupo under 18 tayari msichana ana watoto zaidi ya mmoja!