Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahha jamani! Yawezekana ninazo au pia sina "zote" sioni kama inatakiwa kuwa concern yako since utaoa mke mmoja tu na hata ukioa wawili na kuendelea mimi siwezi kuwa mmoja wao, Je umegundua mimi kuwa nayo au kutokuwa nayo si business yako?
Tuje kwenye point ya msingia ambayo umeiita "kutetea kitu kibaya" tafadhali unaweza kuniambia ni kivipi utetezi wangu umeonesha ni kuwa natetea kitu kibaya? Utusaidie kufahamu pia ni kivipi imekuwa kitu kibaya ukituonesha uzuri wake na umuhimu wake katika maisha yetu.
Samahani kaka mungu [emoji3][emoji3] eti joka alisema ulinisamehe uzinzi af ukanipa garasha (asiye bikira).Nilizini mara kibao ila nimepata Neema ya kuoa mwanamke bikra.
Anamzungumzia Majizo wakti yeye hana hata mwanaume wa kumpa vocha. Daah! Dunia hii kweli mapito
Samahani kaka mungu [emoji3][emoji3] eti joka alisema ulinisamehe uzinzi af ukanipa garasha (asiye bikira).
Sasa vp yeye joka na uzinzi alioutaja hapo juu mbona umempa bikiraa... [emoji3][emoji3][emoji3]
Hao uliozini nao unahis wataolewa na nani?Nilizini mara kibao ila nimepata Neema ya kuoa mwanamke bikra.
Bila shaka ni mimi si ndio mkuu? Utatakiwa unitake radhi kwasababu umenilenga moja kwa moja kwasababu mimi ndiye niliyemuongelea mr maji, Na nafahamu hasira hii yote ni kwakua niliongelea kapuku na lofa, lakini mkuu nikusahihishe niliongea kwa "ujumla wake" kwa maana nyingine unaweza kuwa ni wewe au si wewe kusiwe na hard feelings unless ni "wewe".
Kingine hivi bado tunaishi kwenye kupeana vocha? Mwanamke mwenye akili timamu bado atakimbizana na wanaume watoa vocha? Acha masihara ndugu yangu... Anyways huu si mjadala mjadala mkuu ni bikra.
Kwahyo alipopanga kunipa mimi garasha akaamua kukushirikisha wewe (kakaake)Mungu hapangiwi, ukifika omba chako usinichonganishe
Yani wewe starehe yako ni kufanya mapenzi na unasubiri ndoa.. Mungu niepushe nsijeoa sex addictHata kama ametulia anasubiri ndoa haina sababu yoyote yakulazimisha mwingine atulie kama yeye asubiri ndoa, wengine starehe yao kufanya mapenzi sasa kama hajafikia maamuzi yakuoa kuolewa haimfanyi asifanye mapenzi, Hii imekaa kiimani zaidi sasa kama mtu hana imani Je? Si sahihi kulazimisha mambo yawe kwa kadri ya mtazamo wa mmoja.
Yaan
Wanaojielewa na wenye heshima zao hawana muda na mambo ya kipuuzi kama haya...
Yani wewe starehe yako ni kufanya mapenzi na unasubiri ndoa.. Mungu niepushe nsijeoa sex addict
Unauhakika gani mkuu...??Bikira ina umuhimu wake...kwanza inakupa confidence.!!inakupa kujiamini...kuwa wew ndo wa kwanza...!!huna presha na mpuuzi aitwaye X
ila ukichukua nungaembe unaishi kwa presha...hujiamini....!!maana kama sio bikira lazma utagongewa tu..!!
Najua waliotolewa bikira na hawana ndoa itawauma...ila ndo ukweli
Hao waliopo kwenye ndoa ndo mashahidi.....si mke c mume...!!wanaishi kwa majuto
Nami nilijumuisha wanawake wote wanaojitapa na wanaume wenye mafweza ilhali hata wa kuwapa vocha hawana.
Tuje kwa mada; Kama unabikra njoo asubuhi natangaza ndoa humu humu JF, Mfungishaji atakuwa Mshana Jr
Yaani mi wala sijali maana wanaoolewa siku hizi 95% hawana bikra. Sio kitu kinachoumiza akili maana tunaolewa bila shida yoyote.Kweli Mkuu na ndio bahati hiyo. Umesoma mapovu ya wenzako
Unasema sio kweli kabisa alafu unasema ni moja ya pointi. Embu tulia mkuu uandike vizuri huenda unachakusema
I dont just care about me, concern yangu kubwa iko katika jamii, the same society ambayo nitalea na kukuza familia na ukoo wangu.Huwezi kuoa sex addict since sio chaguo lako at the first place, ondoa shaka mkuu kwasababu utaoa mke mmoja tu na sio wanawake wote, wengine ni wake za wengine, ondoa shaka.
Je uzinzi ni kwa mwanamke tu?Mkuu mada yako iko sahihi kabisa, sema kinachosumbua watu humu ni uelewa wa kina katika kile ulichokusudia kukieleza.. binafsi nimekuelewa sana..
Bikra inatupa ishara nyingi katika njanja tofauti tofauti..
1~ Katika dini bikra ni ishara ya hofu ya Mungu, kwa maana kwamba kwa imani za kidini ni dhambi kufanya ngono kabla ya ndoa, so tunategemea mtu mwenye hofu ya Mungu kuwa bikra..
2~Kimaadili bikra ni ishara ya kijiheshim, kwa maana kwamba jamii inaamini mtu anayejiheshim hawezi fanya ngono na mtu baki asiye muheshim.
3~Kiafya bikra ni ishara ya kujipenda na ni ishara ya usafi, ngono inamaana pale tu itakapofanyika ndani ya ndoa lakini nje ya ndoa ngono ni uchafu wa fikra na mwili pia..
4~Kisaikologia bikra ni ishara ya uaminifu na kujitambua,, aliyetoa bikra kabla ya ndoa anatafsiliwa kama hana huaminifu na hajitambui thamani yake.
Hizi sifa anazopewa mtu mwenye bikra ndizo hutumika kama sifa za mke bora. Ukipata mke mzuri kimaumbile na ni bikra huyo lazima awe wife material, nafikiri hichi ndicho anachokimaanisha mtoa mada... Kama huna bikra na umeolewa basi ni neema tu na ni mapenzi ya Mungu...maana Mungu anawapenda wote mabikra na wasio mabikra ila anachukizwa na uzinzi...