Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Drs la 5 unachunguza utepe kwa kutumia nini? Polisi tulindieni watoto jamani. Kuna wasaka bikra weshawehuka.
😃 Ukwel usemwe ingawa mchungu,,Mungu atulindie watoto wetu coz hata polisi mnawaonea kwa kuwapa kaz nzto sana
 
  • Kicheko
Reactions: wax
Bikra ni kama gari zero kilometer zinamilikiwa na serikali tu yaani ni za wachache wengine endeleeni kuchukua gari used mileage 200000km unapewa na namba za mafundi 20 kupanga ni kuchagua lkn hakuna kitu kinakera kama ujue mkeo anawasiliana na ex wake gari ianze kusumbulia kwako sio ije tayari tair zimeisha mara injini inagonga🤔🤔🤔
 
Naoa kwa ajili ya watoto. Si kwa ajili yangu.
Siwezi kuacha kumuoa mwanamke smart asiye na bikra ili nioe mtu asiye na akili kisa ana bikra.
hakika umesema,,ila subiri waje wazee wa bikira wakupinge juu ya hili😃😃
 
Drs la 5 unachunguza utepe kwa kutumia nini? Polisi tulindieni watoto jamani. Kuna wasaka bikra weshawehuka.
Hiyo sio kazi ya polis
Mzazi leo mwanao acha uvivu wako
Unataka polis walee mwanao 10
 
Utengenezaji wa bidha viwandani huwa wanaweka kitu kinachoitwa SEAL. Bidha yenye SEAL maana yake ni mpya, haijaguswa na MTU yeyote.

Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.

Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.

MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.

Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.

5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake.
🤣Bora wazoefu kuliko bikra Asee Wana tabia ya kutaka kujaribu minemba tofauti tofauti
 
Haya ili mtuoe wakaka wa jf mnataka bikira au tako?,,mnatuchanganya mjue,,ili nkienda uturuki nijue nanunua bikira au tako,vyote vipo sokoni sasa ni simple tu,hata sura mkitaka tunanunua.
vip kuhusu akili?
 
Hahaha huu uzi ambao hatujabahatika bikra tunaupita kama kituo cha police
 
Katika mpango wa Mungu wa uumbaji, anataka wanadamu wote tupate vitu original. Vitu visafi. Ukiiangalia vyakula vyote vya asili yaani mmea, matunda vimefunikwa, yaani vina SEAL. Hukuti chakula cha asili kiko wazi. Mfano ni mihogo, ndizi, viazi, miwa, nk vyote vimefunikwa au SEAL kuonesha ni original
Watoto wanaozaliwa na wanawake BIKRA wanakuwa na mafanikio makubwa sana.

Hata Mungu ilimlazimu amlete Yesu kwa mwanamke BIKRA
Wote ni mashahidi. Yesu alifanikiwa sana kwenye huduma zake zote. Hata mdogo wake Yesu kwa jina la Yakobo, huyu bwana alifanya makubwa Sana ktk Imani. Aliandika kitabu kinachoitwa Yakobo kwenye Bible.

Hata taifa la Israel limetokana na wasichana bikra Rachael na Leah. Hawa wasichana walizaa watoto 12 hodari. Na ndiyo chimbuko la taifa la Israel.
Miongoni mwetu wapo wameolewa wakiwa bikra na wamefanikiwa sana. Hata watoto wao wana mafanikio makubwa.

Zinaa kabra ya ndoa inaleta madhara makubwa kwenye maisha yako na kizazi chako. Biblical inasema mtu aziniye na Mwanamke, hana akili kabisa, kufanya jambo la kuangamiza nafsi yake.

Uzinzi unaleta laana za ajabu sana. Wazazi muwalinde mabinti zenu waolewe wikiwa na bikra
 
Maneno ya finished men au losers

Kama ulioa mkeo sio bikira uwaheshinu sana waliotoka naye kabla yako

They are superior than you. Wamemmwagia halafu wakampiga chini hawakuona thamani yake

Wewe umeokoteza na kumweka ndani kama mke

Usiamini drama za mkeo kwa maex zake eti kuwa hana habari nao siku hizi. Kumbuka akiwa kitandani alishawahi kuwaambia fanya kwa nguvu na akawauliza baby umeshakojoa?

You are a last man
Napigia mstari
 
Back
Top Bottom