Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra



Binti Kiziwi nakupenda
 
Anamzungumzia Majizo wakti yeye hana hata mwanaume wa kumpa vocha. Daah! Dunia hii kweli mapito

Bila shaka ni mimi si ndio mkuu? Utatakiwa unitake radhi kwasababu umenilenga moja kwa moja kwasababu mimi ndiye niliyemuongelea mr maji, Na nafahamu hasira hii yote ni kwakua niliongelea kapuku na lofa, lakini mkuu nikusahihishe niliongea kwa "ujumla wake" kwa maana nyingine unaweza kuwa ni wewe au si wewe kusiwe na hard feelings unless ni "wewe".

Kingine hivi bado tunaishi kwenye kupeana vocha? Mwanamke mwenye akili timamu bado atakimbizana na wanaume watoa vocha? Acha masihara ndugu yangu... Anyways huu si mjadala mjadala mkuu ni bikra.
 
Samahani kaka mungu [emoji3][emoji3] eti joka alisema ulinisamehe uzinzi af ukanipa garasha (asiye bikira).
Sasa vp yeye joka na uzinzi alioutaja hapo juu mbona umempa bikiraa... [emoji3][emoji3][emoji3]


Mungu hapangiwi, ukifika omba chako usinichonganishe
 

Nami nilijumuisha wanawake wote wanaojitapa na wanaume wenye mafweza ilhali hata wa kuwapa vocha hawana.

Tuje kwa mada; Kama unabikra njoo asubuhi natangaza ndoa humu humu JF, Mfungishaji atakuwa Mshana Jr
 
Yani wewe starehe yako ni kufanya mapenzi na unasubiri ndoa.. Mungu niepushe nsijeoa sex addict
 
Yaan

Wanaojielewa na wenye heshima zao hawana muda na mambo ya kipuuzi kama haya...

Kwasababu wana mambo mengi yakufikiria. Wana mengi yakufanya pia, wana mengi yakufanya pamoja na mwanamke katika union yao , na wamegundua bikra sio kimojawapo, ikiwepo isipokuwepo haiathiri chochote.
 
Yani wewe starehe yako ni kufanya mapenzi na unasubiri ndoa.. Mungu niepushe nsijeoa sex addict

Huwezi kuoa sex addict since sio chaguo lako at the first place, ondoa shaka mkuu kwasababu utaoa mke mmoja tu na sio wanawake wote, wengine ni wake za wengine, ondoa shaka.
 
Unauhakika gani mkuu...??
Umewahi kutolewa bikira af ukaolewa then ukajutaaa...??

Mimi sikumkuta mama Brian akiwa na bikira ila sijutii... Na ninamshukuru Mungu
 
Nami nilijumuisha wanawake wote wanaojitapa na wanaume wenye mafweza ilhali hata wa kuwapa vocha hawana.

Tuje kwa mada; Kama unabikra njoo asubuhi natangaza ndoa humu humu JF, Mfungishaji atakuwa Mshana Jr

Vocha? Una safari ndefu ya kwenda mkuu kaza, kwa hakika wanaokufaa ni wa aina fulani hivi maana ndio wanaotaka vocha katika ulimwengu huu na mtoa vocha ndio wewe.

Kuhusu ndoa kila la heri, nimeolewa miaka kadhaa iliyopita unless umenifahamu humu leo.
 
Unasema sio kweli kabisa alafu unasema ni moja ya pointi. Embu tulia mkuu uandike vizuri huenda unachakusema

Mwanafunzi kutokuelewa ni kosa la mwalimu? Mimi namaanisha kukosa bikira haimaanishi sifa za kuwa mke ndo zimeisha, na pia si akiwa na bikira ni tiketi ya kuwa na haki zote za kuitwa mke mwema, au mkuu huelewi maana ya moja wapo?

Na pia unielewe vizuri mm sipingani na unachokipinga chote ila ninachokipinga ni kusema kama mwanaume hajaoa bikira basi hana akili yaani bikira ya mke ni kipimo cha uwerevu wa mwanaume hapo na kusema mwanamke kuwa na bikira anahaki na ndoa siyo kweli pia ila kuhusu bikira sikupingi kuwa ni muhimu na kweli kila mwanaume anatamani aoe bikira lakin haitoshi pekee yake na kama isivyotosha pekee yake basi pia haitoshi kuwa sababu ya mwanamke kukosa ndoa kama anasifa zingine ambazo mwanaume anazihitaji yaani ni sawa na mwanafunzi mwenye 90 na mwenye 85 wote wamefaulu ila tukihitaji the best basi ni mwenye 90

mwanamke mwenye bikira+sifa zingine atamzidi asiyekuwa nayo lakin mwanamke mwenye bikira afu sifa zingine hana atazidiwa na mwenye sifa zingine zote ila bikira hana, ambapo kwa maelezo yako upo tofauti,ww umemaanisha kuwa na bikira basi ni sababu ya mia mia kuwa anafaa na asipokuwa nayo anaolewa na mwanaume mjinga
 
Huwezi kuoa sex addict since sio chaguo lako at the first place, ondoa shaka mkuu kwasababu utaoa mke mmoja tu na sio wanawake wote, wengine ni wake za wengine, ondoa shaka.
I dont just care about me, concern yangu kubwa iko katika jamii, the same society ambayo nitalea na kukuza familia na ukoo wangu.

Ujumbe unaojaribu kuutoa sio mzuri ata kidogo kwa jamii.. Ifike point tuwe real tutenge mabaya kwa mabaya yake na mazuri kwa uzuri wake.. unaposema kila mtu afikirie kivyake hapo sasa ndio tunaanza kupoteza maadili na uthamani wa maisha katika jamii.

Nikweli kwamba some consious zao zimeshakuwa dameged na ubaya lakini hilo lisitupe tiketi ya kutetea ubaya na kuona uzuri hauna maana
 
Je uzinzi ni kwa mwanamke tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…