Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hayo yote ni maswali, hayathibitishi lolote kwamba Mungu yupo.

Nimekwambia thibitisha Mungu yupo.

Unaniuliza mimi nilitokea tu kama mzuka, na mimi nakuuliza huyo Mungu unayemsema alitokeaje? Na yeye alitokea tu kama mzuka?

Zab.53:1​

Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
 
unaoa kutafuta utelezi....maagano tunakuachia wewe....tunahudumia kupatiwa utelezi huduma ndio malipo...wanawake wengine wanaolewa kutafuta mbegu na furaha ya kuonekana wameolewa...hawana shida ya kuhudumiwa wao wanawaza kulea watoto zake...wewe unaitafuta hio ndoa ya kindani tunakuja kupita nae kama baltazary..zijue sababu za wewe kuoa na za wewe kuacha kuoa..pima uzania amua kila kitu ni sahihi..
 
Hizi ngonjera zimezoeleka ila ujue tu ndoa ni taasisi iliowekwa na Mungu hizo sifa ulizotaja zote hapo za hao watu wataolewa na wewe utachangia mchango wa Harusi yao

Hata utaje sifa mbayambaya ndoa lazima zifungwe watu lazima waoane hiyo ni kanuni ya Kimungu na ndio maana Mungu hangaalii kama mwanadamu ndio maana pamoja na madhambi yote anasamehe na kusafisha na uzao unaongezeka
 
Vijana wanaoa wanawake waliopitia hatua zote. Yaani alitoka kwao akiwa bikra(akatolewa akiwa secondari). Akaenda chuo kuishi na mwana(kinyumba), akatoa sana mimba. Akarejea mtaani na kudangia wazee kwa vijana na akawa Single mother. Umri ukamtupa, presha kutoka kwa wazazi au kwasababu wenzio wameolewa, basi atatafuta pa kujisitiri.

Kumbuka hapo katikati amekutana na vikundi vya mafeminist.

Anakuja kusitiriwa. Na maisha yanaendelea kama tunavyoona.
 
Acha hiyo, sasa hivi unaweza ukaoa mke ambae ni muwe wa mtu vile vile..

Kikubwa we ukiona anaekufaa chukua kuleni ugali.
Hutaki ndoa pia haina tabu, ishi hivyo. Usifanye jambo kisa fulani limemtokea.
😀😀😀 mke ni mume wa mtu
 
Bikra kwa bikra asiye bikra kwa asiye bikra ,unajua wanaume tunatamba sana kwa sababu hatuachi ushahidi nyuma ,laiti kama ungekuta tunabeba mimba sijui ingekuaje🤔🤔🤔
Mwanaume na mwanamke hawalinganishwi kwenye mzani sawa. Sifa ya mwanaume ni mali/pesa/uwezo wa kutunza familia. Sifa ya mwanamke ni purity, ambapp indicator moja wapo ya purity ndio iyo bikira
 
Sahihi kabisa. Nilishashasema mwanamke yoyote akiwa na mimi kwenye mahusiano kama sikumkuta bikra asahau kuwa na mimi kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…