Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kwani wewe ni bikra hadi utake mabikra? This is but holier than thou. Ukitaka bikra jiulize kama wewe ni bikra.
Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.

Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.
 
Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.

Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.

Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).

Sasa nampataje?

Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!

Naombeni techniques
Washirikishe wazee kwenye familia wakutafutie.
 
Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.

Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.
Ulitaka kusema nini mwanangu? Unajua ulichoandika hapa?
 
Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.

Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.
Kwani umekasirika??😄
 
W
Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.

Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.

Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).

Sasa nampataje?

Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!

Naombeni techniques
Wee hamna bikra hapa ni mwendo wa breki pumbuz tuu 🤣🤣🤣🤣
 
Vijana bhana ss bikra ya nn?wenzio saiz hatutaki usumbufu tunatafuta waliokubuhu km waajiri watafutavyo wenye uzoefu😂😂
 
YU WAPI ALIEKUBIKIRI?
Screenshot_20241112-202518.jpg

Una hoji kama huyu mwamba😂
 
Kimsingi Mwanaume akioa anayohaki na wajibu wa kuuliza habari ya Ubikra kwa mwanamke amuoaye. Mwanaume anayohaki ya kumwacha mwanamke kwa kigezo cha kutokukuta bikra kwa mwanamke.

Hata huko kanisani mchungaji hapaswi kuiita ndoa takatifu afungishapo ndoa ikiwa anajua fika waoanaji walitenda kosa la kitandani.

Hivi unadhani ile habari ya nani Baba kamili wa Patrick ingekuwa tatizo endapo Bwana Peter angemuoa Muna akiwa Bikra. Mambo mengine ni kujitakia tuu.
Haki inapototea sababu waoaji wengi wanaoa madanga yao.
 
huu uzi wanawake wana ogopa kuchangia. uanzishwe mjadala wa kitaifa kuhusu hii kitu watu tuna tumbukia kwenye miamba walio chonga wengine
Mwenyewe umechonga miamba mingi na kuitelekeza ili wengine watumbukie.
Madame zinazoongelea ubikra hazinaga gender balance.!
Wanaume mnaolalama kutaka mabinti mabikra nani kawatoa Hawa wasichana ubikra?
Je, mnaweza kukaa bila kusex Hadi mtakapooa au upwiru wenu mnautolea wapi.?
Acheni kuwarubuni wasichana muone kama hawatakuwa mabikra.
Acheni kuwatoa ubikra wasichana ili mzikute mtakapowaoa.
Wenyewe hamuwezi hata kuoa wanawake ambao hamjazini nao!
Hili jambo litazamwe Kwa mapana yake, jamii yote pasopo kujali jinsia inatakiwa ibadilike kimtazamo na kitabia.
Tabia zinazoweka misingi ya ndoa imara zimeachwa, na kila mtu anaona ni sawa TU.
Narudia.. 'Tuache kuoa madanga yetu.'
 
Bikira ni agano la uaminifu la mwanamke.
Kwamba amekuwa mwaminifu kwako wakati wote,licha ya yote aliyoyapitia
Tatizo wanawake wanaipoteza kabla ya kukutana na waume zao
Kama mama yao EVA alivyofanya kwenye bustani ya edeni
 
Bora uwe umewahi kuolewa ukaachika au mjane utaeleweka lakin upo single na bikra huna halaf ndo nyie mnatajaga vigezo vikubwa kwa mwanaume ambae anataka kukuoa sjui awe na pesa ,gari nk mungu kumuwekea mwanamke kizinda alikuwa na maana makubwa mm binafsi sjawahi kuwa na wivu kwa mwanamke nlomkuta hana bikra huwa namchukulia kama msela mwenzangu
 
😂Watu wana defense mechanism aiseee, (eti kwani we ni bikra).

Usidanganywe mkuu bikra ni mwanamke ndo anakatwa utepe sio mwanaume we tafta bikra kitu zero kilomita, weka ndani ufurahie maisha.
Dereva wa gari anapenda kumiliki/kununua zero kilometres. Ila gari lenyewe linakuwa salama likiendesha na dereva aliyeendesha magari mengi. Akili kumkichwa, unatufelisha Grim
 
Back
Top Bottom