Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.Kwani wewe ni bikra hadi utake mabikra? This is but holier than thou. Ukitaka bikra jiulize kama wewe ni bikra.
Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.