Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

😂Watu wana defense mechanism aiseee, (eti kwani we ni bikra).

Usidanganywe mkuu bikra ni mwanamke ndo anakatwa utepe sio mwanaume we tafta bikra kitu zero kilomita, weka ndani ufurahie maisha.
Sijadanganya mtu mkuu, ni swali kama maswali mengine tuu, 😂😂😂acheni watoto wa watu wasome.. Na wala sijasema asitafute anachohitaji bali apewe anachostahili..
 
Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.

Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.

Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).

Sasa nampataje?

Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!

Naombeni techniques
Wamejaa kibao buguruni na tandale mkuu
 
Back
Top Bottom